Tusiwategemee ccm kumzuia Magufuli kuongeza muda maana wenyewe kwa sasa kuishi kwao kunategemea jamaa kaamkaje.Itakuwa hivyo kama ndani ya CCM hawatakubali wenyewe wenye connection na deep state.
Shida karata ya kupoteza control ndio itakayokuwa mwanzo wa anguko.
After all kama alivyosema Kiranga pale juu hoja ya kuongeza muda kuipa nafasi kwa sasa ni kupoteza muda wakati kuna mambo mengi ya hovyo ambayo tayari ameshayafanya.Itakuwa hivyo kama ndani ya CCM hawatakubali wenyewe wenye connection na deep state.
Shida karata ya kupoteza control ndio itakayokuwa mwanzo wa anguko.
Sasa umetoka kabisa nje ya hoja, unatafuta tu visababu vya kuendeleza ubishi.Unajichanganya.
Humuamini Magufuli, unafikiri atajiongezea muda wa urais...
Ndani ya CCM sasa hivi hakuna mwenye ubavu wa kumzuia chochote Magufuli. Kwanza ataanzia wapi, maana kila aliyepo CCM yupo kwa fadhira ya Magufuli.Tusiwategemee ccm kumzuia Magufuli kuongeza muda maana wenyewe kwa sasa kuishi kwao kunategemea jamaa kaamkaje.
Sasa utaweza kuwategemea mateka wamzuie mtekaji wao ?
Mpaka anawaambia vila yeye wasingekuwa wabunge.Ndani ya CCM sasa hivi hakuna mwenye ubavu wa kumzuia chochote Magufuli. Kwanza ataanzia wapi, maana kila aliyepo CCM yupo kwa fadhira ya Magufuli
Zuzu huyo anajikuta "JAY ZEEEEE"Sorry ina maana hata nyakati kusoma hujuwi? Basi poa asante
Umejikita kwenye kumtazama mtu mmoja tu bila kuangalia matatizo ya kimfumo.Sasa umetoka kabisa nje ya hoja, unatafuta tu visababu vya kuendeleza ubishi.
Eleza wewe, huko ku-'focus' kwenye katiba mpya kwa mtu asiyetaka hata kufuata mbovu iliyopo, utamlazimisha vipi akubali kuwepo katiba mpya?...
Nimetafakari sana Ila bado sijaelewa maana ya kutabiri Kwa maana ya Uzi huu! Tusifanye uchonganishi usio na maana! Fanya kazi Acha kuhangaika!Natabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili...
Ndio, sasa hivi hakuna cha mfumo ni "mtu mmoja" ndiye anayeendesha kila kitu. Kama hata hili bado hulijui ni tatizo kwako.Umejikita kwenye kumtazama mtu mmoja tu bila kuangalia matatizo ya kimfumo.
This is a strategic mistake...
Nakazia [emoji419]Nani huyo wakuzua moto wa kisiasa? Wapinzani Au ccm Au wanaharakati Au wananchi Hawa Hawa ? Bado sijaona wenye hiyo spirit....
Kwa hizi kelele za kijinga za kuangalia mtu badala ya mfumo mtaendelea kulalamika kila siku, wakati wenzenu wanawachezea, wanaiba kura, wanaendelea kuwatawala kimabavu.Ndio, sasa hivi hakuna cha mfumo ni "mtu mmoja" ndiye anayeendesha kila kitu. Kama hata hili bado hulijui ni tatizo kwako.
Kabla ya "mtu huyo mmoja" mfumo uliokuwepo pamoja na kuwa mbaya, lakini iliwezekana kuukabili na kuwepo uwezekano wa kufanya mabadiliko bila ya watu kuumizwa kama ilivyo kwa huyu "mtu mmoja" aliyeteka kila kitu kwa kutumia dola.
Chini ya ule mfumo mbaya, wapinzani waliweza kufanya siasa na hata kupata wawakilishi katika ngazi mbalimbali, na hata jaribio la kuubadili mfumo liliweza kuanzishwa kwa uwezekano wa kupata katiba mpya.
Huyu mtu mmoja unayemtetea hataki kusikia lolote juu ya hayo yote.
Alisikika Mzee Mgaya akimshauri Bashiru Ally.Hiyo hoja umeitoa wapi?
Mbona walisha wajaribu kwa kuiba kura na hakuna lililotokea?Mkuu,
Kwa hali ilivyo mtaani jambo lolote ambalo halihusu namna ya kuwapunguzia wananchi ugumu wa maisha litakutana na ukingazi mkubwa sana maana hali halisi tuliyo nayo sasa ni "we have nothing to loos by fighting against the tyranny" watujaribu waone!
Hakutotokea lolote lile, watanzania domo kubwa bila vitendo. Wabunge wote ni ccm wakitakacho kitapita tu, ataekataa atafukuzwa uanachama. Wote wanajua kuwa asilimia kubwa yao wameingia bungeni kwa mlango wa nyuma, kwa hiyo watabaki kimya! Ama wananchi wa kawaida ni mahodari wa kupiga domo tu hakuna atakaefanya lolote kuzuia suali hili endapo CCM wakiamua kulijadili.Natabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.
Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.
Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.