Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kwa Tanzania na unafik wake hilo mbona dogo? Ila time tells
Magufuli alisema anataka kumaliza upinzani 2020.Magufuli alisema uchaguzi huu utakuwa huru na haki, sisi tulisema Magufuli hana tabia ya kuheshimu box la kura. Jitokeze useme waliosema wakati ule walikuwa wanawaza ambayo hajatenda.
Pole pole ndiye atapeleka hoja kwa speaker ndani ya bunge na itaungwa mkono. Wote walioanzishaga hii hoja walikatwa au kuangushwa kimkakati ili hoja ije kwa mkono wa pili.
Kama unakubali kirahisi hivyo uchaguzi wa 2020 ushapita, hata kama Magufuli akijiongezea muda wa urais 2025 hutafanya kitu.Kabla ya 2020 kuna waliobahatisha namna matokeo yatakavyokwenda. Uchaguzi wa 2020 ulishapita.
Magufuli alisema anataka kumaliza upinzani 2020.
Akasema hataki mtu anayemlipa mshahara (wakuu wa mikoa, wilaya etc) jimboni kwake apite mpinzani.
Ndiyo kiini cha wizi mkubwa uliofanyika mpaka bunge limekosa wapinzani.
Haya mambo aliyasema wazi Magufuli na mtu yeyote ambaye angesema kuhusu wizi wa kura 2020 angeweza kusema hivyo kwa fact, kwa kauli za Magufuli.
Twende kwa fact. Haya mambo ya speculation kila mtu anasema yake.
Sasa una kauli gani ya Magufuli aliposema kwamba atazidisha muda wake wa urais?
Sitaki kuamini, nataka kujua. Ndiyo maana nadai facts badala ya speculation.Anayemwamini mwanasiasa ni mjinga tu. Akina Kagame, Museveni, Nkurunziza (late), wote walisema hivyo hivyo wakati wanaanza muhula wao wa 2. Magufuli siyo Kikwete, siyo Mwinyi, siyo Mkapa... Nchi yetu ina matatizo makubwa kwa kuwa na Magufuli. Wizi wa kura ulikuwepo tangu enzi za Mkapa lakini hatukuwa kuona kura za kwenye mabegi mtaani. Magufuli goes down in our country's history as a thief.
Huyu jamaa nae ...Hiyo hoja umeitoa wapi?
Wewe hakuna kinachoweza kutokea. Akiamua tu watu wataandamana kuunga mkono juhudi. Nadhani wewe hujawajua watz vizuri. By the way mbona unaibuka na mada katikati ya mada ? Tuliza boli kwanzaNatabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba nakurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.
Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.
Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.
Una list minamba mingi halafu yote inaongelea point moja.Kwanza kabisa, niseme mimi si mtetezi wa Magufuli wala CCM. Ni mtetezi wa haki na mchambuzi wa siasa na mantiki.
Magufuli nishamsema sana, hivyo, ninachoandika hapa si kwa sababu ya kumtetea Magufuli.
Twende kwenye hoja baada ya dibaji hiyo.
Magufuli ameshasema mara kadhaa hataki kuongeza muhula wa urais.
Kwa nini mnafanya hili suala kuwa hoja?
Hususan kama kuna makosa mengi sana ambayo Magufuli ameshayafanya ambayo yanaweza kujadiliwa kama hoja halali, factually, na si speculation?
Mimi naona wapinzani wa Magufuli kuongelea hili kunaonesha yafuatayo.
1. Hawana focus. Wanakuwa kama mtu tajiri mwenye hela nyingi sana (wana hoja nyingi sana halali za kumsema Magufuli) lakini ambaye bado anaenda kukopa hela benki kwa riba kubwa sana (licha ya kuwa na hoja nyingi halali za kumsema Magufuli, wanaenda kukopa hoja qmbayo haina uhalali ya kuhusu makisa ambayo hayajafanyika,kiasi cha kufanya watu wahoji umqkini wao).
2. Hawajadili mambo kwa facts. Bali kwa speculations.
3. Wanahukumu kosa ambalo wanafikiri litatetendeka, badalq ya kuhukumu kosa lililotendeka. Hili ni jambo hatari. Kwa msingi huu, Magufuli anaweza kuamka siku moja akasema ameota wapunzabi wanataka kumpindua. Akawafunga wote.
4. Wanapoteza muda na nguvu kujadili speculations wakati kuna mambo muhimu ya kubana sasa hivi kama wizi wa kura katika uchaguzi, tume huru yq uchaguzi, katiba mpya etc.
5. Wanaonesha paranoia. Kitu ambacho hakifai katika uongozi.
PorojoNatabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba nakurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.
Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.
Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.
Museveni.Kwanza kabisa, niseme mimi si mtetezi wa Magufuli wala CCM. Ni mtetezi wa haki na mchambuzi wa siasa na mantiki.
Magufuli nishamsema sana, hivyo, ninachoandika hapa si kwa sababu ya kumtetea Magufuli.
Twende kwenye hoja baada ya dibaji hiyo.
Magufuli ameshasema mara kadhaa hataki kuongeza muhula wa urais.
Kwa nini mnafanya hili suala kuwa hoja?
Hususan kama kuna makosa mengi sana ambayo Magufuli ameshayafanya ambayo yanaweza kujadiliwa kama hoja halali, factually, na si speculation?
Mimi naona wapinzani wa Magufuli kuongelea hili kunaonesha yafuatayo.
1. Hawana focus. Wanakuwa kama mtu tajiri mwenye hela nyingi sana (wana hoja nyingi sana halali za kumsema Magufuli) lakini ambaye bado anaenda kukopa hela benki kwa riba kubwa sana (licha ya kuwa na hoja nyingi halali za kumsema Magufuli, wanaenda kukopa hoja qmbayo haina uhalali ya kuhusu makisa ambayo hayajafanyika,kiasi cha kufanya watu wahoji umqkini wao).
2. Hawajadili mambo kwa facts. Bali kwa speculations.
3. Wanahukumu kosa ambalo wanafikiri litatetendeka, badalq ya kuhukumu kosa lililotendeka. Hili ni jambo hatari. Kwa msingi huu, Magufuli anaweza kuamka siku moja akasema ameota wapunzabi wanataka kumpindua. Akawafunga wote.
4. Wanapoteza muda na nguvu kujadili speculations wakati kuna mambo muhimu ya kubana sasa hivi kama wizi wa kura katika uchaguzi, tume huru yq uchaguzi, katiba mpya etc.
5. Wanaonesha paranoia. Kitu ambacho hakifai katika uongozi.
Waste zaidi ni wewe unayenijibu.Una list minamba mingi halafu yote inaongelea point moja.
What a waste of time.
Hatuwezi kubishana bila fact.Museveni.
Kagame.
Both are JPM's role models. Walisema hivyo hivyo. The rest is history.
Tusibishane. Tusubiri. 2025 siyo mbali.
Ulimsikia yule aliyesema "Atake asitake, tutamlazimisha tu" na akaungwa mkono na speaker Ndugai, akisema "shikilia hapo hapo, tukirudi hapa hoja iletwe, atake asitake" Sasa wamerudi, tena wako wenyewe bila "wapinga maendeleo", unategemea nini?Kwanza kabisa, niseme mimi si mtetezi wa Magufuli wala CCM. Ni mtetezi wa haki na mchambuzi wa siasa na mantiki.
Magufuli nishamsema sana, hivyo, ninachoandika hapa si kwa sababu ya kumtetea Magufuli.
Twende kwenye hoja baada ya dibaji hiyo.
Magufuli ameshasema mara kadhaa hataki kuongeza muhula wa urais.
Kwa nini mnafanya hili suala kuwa hoja?
Hususan kama kuna makosa mengi sana ambayo Magufuli ameshayafanya ambayo yanaweza kujadiliwa kama hoja halali, factually, na si speculation?
Mimi naona wapinzani wa Magufuli kuongelea hili kunaonesha yafuatayo.
1. Hawana focus. Wanakuwa kama mtu tajiri mwenye hela nyingi sana (wana hoja nyingi sana halali za kumsema Magufuli) lakini ambaye bado anaenda kukopa hela benki kwa riba kubwa sana (licha ya kuwa na hoja nyingi halali za kumsema Magufuli, wanaenda kukopa hoja qmbayo haina uhalali ya kuhusu makisa ambayo hayajafanyika,kiasi cha kufanya watu wahoji umqkini wao).
2. Hawajadili mambo kwa facts. Bali kwa speculations.
3. Wanahukumu kosa ambalo wanafikiri litatetendeka, badalq ya kuhukumu kosa lililotendeka. Hili ni jambo hatari. Kwa msingi huu, Magufuli anaweza kuamka siku moja akasema ameota wapunzabi wanataka kumpindua. Akawafunga wote.
4. Wanapoteza muda na nguvu kujadili speculations wakati kuna mambo muhimu ya kubana sasa hivi kama wizi wa kura katika uchaguzi, tume huru yq uchaguzi, katiba mpya etc.
5. Wanaonesha paranoia. Kitu ambacho hakifai katika uongozi.
Naomba ukasome sababu nilizitowa juu ya anguko la chadema.labda wanafuata ule msemo
"Ukishang'atwa na nyoka hata jani likikugusa utashtuka"..
Labda kwa sababu wengi walitabiri Uchaguzi wa 2020 kuwa wabunge wa upinzani hawatorudi bungeni na kweli ikatokea
Pengine hawaamini kauli zake tena pale aliposema "Maendeleo hayana Chama" lakini wakati wa kampeni alipita kwenye majimbo kadhaa na kukiri kuwa hakupeleka maendeleo sababu waliuchagua upinzani.
Pengine watu hawamuamini Rais wao kwa maneno bali wanaangalia aina ya mawingu ili kutabiri ni aina gani ya mvua itanyesha
labda ni mawazo yangu ya kipuuzi tu [emoji26][emoji26]
Ewala mkuu hayo ni yako mm sina lakusemaUnasali ili mabadiliko mazuri kwa taifa lako yasitokee!!!! Kweli viazi mko wengi, mabadiliko ya katiba yanaanzia bungeni acheni bunge lifanye majukumu yake ya kikatiba. Mabadiliko ya kimanufaa tunayakaribisha, wenye hofu mjinyonge tuuuuuu