KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hili nalo ni swali gani tena? Unasoma ninayoandika hapa?Akikanusha utamuamini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili nalo ni swali gani tena? Unasoma ninayoandika hapa?Akikanusha utamuamini?
Najaribu kuelewa unataka nini.Hili nalo ni swali gani tena? Unasoma ninayoandika hapa?
Kwani kuridhika ni kutohoji ulaghai anaoutanguliza?Kwa mfano hili la kuongeza muda wa urais, unataka afanye nini ili uridhike hataongeza muda wa urais?
Nimeuliza hapo juu, mpaka sasa sijapata jibu.Kwani kuridhika ni kutohoji ulaghai anaoutanguliza?
Watu wasihoji kwa vile tu kasema haongezi muda, na hasa wakijua ni mwongo?
Wewe ulianza lini kuridhika kuambiwa lolote na mtu unayejua kuwa ni mwongo, asiyeaminika, asiyefuata hata taratibu, sheria na hata sheria mama yenyewe!
"Unaridhika" na kipi kutoka kwa mtu wa aina hiyo?
Kuhoji na kutoamini asemayo kwa vile ni mwongo kutamzuiaje?Mkiweza kumzuia Magufuli asiongoze muda wa urais
akanushe wapi tena, km Biswalo keshatamka anaweza mtoa mtu saa yoyote na kumshtaki yeyote hapo ndipo unapoamini ni kazi ya upinzani peke yakeAkikanusha utamuamini?
Tatizo ni kwamba hakuna comprehensive na systemic review ya kuangalia kipi kianze na kipi kifuatie.akanushe wapi tena, km Biswalo keshatamka anaweza mtoa mtu saa yoyote na kumshtaki yeyote hapo ndipo unapoamini ni kazi ya upinzani peke yake
G55 walitokea wapi, hili silo swala la kuwatupia lawama wapinzani, mada usiipindishe ni swala lile lile km mitandao ilizimwa yote mbona chama kilichokuwepo hawakusema fyoo
Hili ni swala la wote km ni kulinda kura ni wote, hata wajumbe waliumizana mitaani na si wa upinzani
2025 ni mbali sana Kiranga
Natabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.
Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.
Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.
Wakuu, hivi ikifika 2025 halafu Magufuli akajistaafia zake mtasemaje?
Mtaomba msamaha kwa kumsingizia makosa ambayo hajayafanya?
Tuwekane sawa, maana hizi nyuzi zinadumu na zinaweza kufika 2025.
hii haijatokea auNatabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.
Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.
Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.
Mungu ibariki Tanzania.
Uliona nini?
Hatari[emoji41]
Unadhani aliandika kauli hii kwenye huu uzi pekee? Ameiandika kwenye nyuzi nyingi Sana.Uliona nini?
Usalama sijui watu kama hawa hawajishughulishi nao kwannUnadhani aliandika kauli hii kwenye huu uzi pekee? Ameiandika kwenye nyuzi nyingi Sana.
Hii ni noma, tena sana
We jamaa mchawi wewe.
Huyu jamaa aliona nini sjui?Nahifadhi hii comment.