Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Hili nalo ni swali gani tena? Unasoma ninayoandika hapa?
Najaribu kuelewa unataka nini.

Naona hata wewe mwenyewe huelewi unataka nini zaidi ya kulalamika tu.

Asipokanusha humuamini kwa sababu hajakanusha.

Akikanusha humuamini kwa sababu haaminiki.

Unataka afanye nini ili uridhike.

Kwa mfano hili la kuongeza muda wa urais, unataka afanye nini ili uridhike hataongeza muda wa urais?
 
Kwa mfano hili la kuongeza muda wa urais, unataka afanye nini ili uridhike hataongeza muda wa urais?
Kwani kuridhika ni kutohoji ulaghai anaoutanguliza?
Watu wasihoji kwa vile tu kasema haongezi muda, na hasa wakijua ni mwongo?
Wewe ulianza lini kuridhika kuambiwa lolote na mtu unayejua kuwa ni mwongo, asiyeaminika, asiyefuata hata taratibu, sheria na hata sheria mama yenyewe!
"Unaridhika" na kipi kutoka kwa mtu wa aina hiyo?
 
Nimeuliza hapo juu, mpaka sasa sijapata jibu.

Mkiweza kumzuia Magufuli asiongoze muda wa urais, au yeye mwenyewe akiamua asiongeze, halafu akampachika kibaraka wake awe rais ajaye, na yeye Magufuli akaongoza kwa mtindo wa remote control, mtafurahi na kujipongeza kwamba mmemzuia Magufuli kuongeza muda wa urais wake?
 
Mkiweza kumzuia Magufuli asiongoze muda wa urais
Kuhoji na kutoamini asemayo kwa vile ni mwongo kutamzuiaje?

Umesoma wapi au kusikia wapi kuwa kutoamini asemalo Magufuli ndio njia ya kumzuia asitende anavyopenda yeye iwe!
Unazungukazunguka tu na mambo yaliyo wazi.

Unataka kulazimisha jibu unalopenda wewe?

Hilo la "kumpachika" umelizua, kama unavyozua mifano mingi hapa isiyokuwa na mantiki yoyote.
 
Akikanusha utamuamini?
akanushe wapi tena, km Biswalo keshatamka anaweza mtoa mtu saa yoyote na kumshtaki yeyote hapo ndipo unapoamini ni kazi ya upinzani peke yake
G55 walitokea wapi, hili silo swala la kuwatupia lawama wapinzani, mada usiipindishe ni swala lile lile km mitandao ilizimwa yote mbona chama kilichokuwepo hawakusema fyoo
Hili ni swala la wote km ni kulinda kura ni wote, hata wajumbe waliumizana mitaani na si wa upinzani
2025 ni mbali sana Kiranga
 
Tatizo ni kwamba hakuna comprehensive na systemic review ya kuangalia kipi kianze na kipi kifuatie.

Yani inakuwa habari ya kupiga mayowe tu kama mfa maji anayetapatapa.

Na hata Magufuli akisikia watu wanaongelea habari ya yeye kuongeza muda wa urais 2025, anawacheka sana.

Anasema kimoyomoyo, hawa wapuuzi wana akili za guluguja. Hawana mkakati. Wanaenda kwa reflex action tu. Atasema "nimetoka kuwaibia kura na kuvuruga uchaguzi Oktoba 2020, wameshajisahaulia, wanapiga mayowe kuhusu 2025!".
 
Kwa kazi halizofanya huyu BABA JPM hakika Mungu ametubariki
Ila Hilo sio MUHIMU Sana maana tunauhakika wa kuwa na watu Kama yeye kwa hili Taifa The likes of Majariwa
He deserves more anyway
Note : Ww unajua kunauwezekano maana taifa linahitaji Hilo litokee
Tunahitaji mtu Kama JPM
Natabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.

Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.

Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Wakuu, hivi ikifika 2025 halafu Magufuli akajistaafia zake mtasemaje?

Mtaomba msamaha kwa kumsingizia makosa ambayo hajayafanya?

Tuwekane sawa, maana hizi nyuzi zinadumu na zinaweza kufika 2025.

Watasema kawaogopa. Unajua ile "Ukinipiga umenionea, ukiniacha umenigopa."
 
Takataka

Kurudiarudia kitu ambacho hakipo, unashuku tu.
 
Natabiri yakuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazuwa Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.

Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.

Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.

Mungu ibariki Tanzania.
hii haijatokea au
 
Back
Top Bottom