Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Umati huu wote uliouona Tamzania wa kumlilia Hayati Rais Magufli bado unaamini kura ziliibiwa? Ile ilikuwa sunami.

Unajua kama ulivyo sema kuwa watu walio mwogopa Hayati Rais Maguduli waki-speculate vitu ambavyo havita tokea, ndivyo hivyo hivyo na wewe umefanya.

Kitendo cha kusema kuwa tatizo ni kuiba kura hilo nalo ni speculation. Huna takwimu na crues ambazo zina support hilo. Ni uongo mtupu. Nanyi mmesutwa na watanzania. Watanzania wamewaonyesha kuwa nyie mmjawa na fantasy ukqeli wa mambo hamwuujui.
Kuna ushahidi sehemu nyingi sana kura ziliibiwa, kwa hiyo usilete habari za kuamini wakati tunaweza kukagua ushahidi.

Umati wa Watanzania hauna uhusiano wowote na kura.

Hata Mrema gari lake lilisukumwa na umati akajua ameshakuwa rais, lakini matokeo yalikuwa tofauti.

Watanzania hata ukiwapigia mdundiko tu wanajaa, wengi hawana kazi, kwa hiyo umati si hoja.

Mtanzania ana uwezo mkubwa sana wa kukusifia kwa "mob psychology" huku ndani kabisa anakuchukia.
 
Hoja ya kujiongeza muda ilikuwepo na ilikuwa inabebwa na wanaCCM wachache ambao walikuwa karibu na mwendazake.

Suala la mwendazake kusema mara kadhaa kuwa hatoongeza hata sekunde moja sio hoja kwa maana hata Kagame aliwahi kukataa kujiongeza muda mara kadhaa tena kwenye media coverage ila baadae akabadilika na kudai kuwa Warwanda wamemlazimisha.

Hilo la kusema kuwa hata wewe uliwahi kuhoji kama mwendazake angefika 2025 sasa hilo ndio Wananchi wengi wapenda Nchi walidhani ndio silaha pekee ya kututoa kwenye hilo jaribio.

Ila amini kabisa suala la kuondoa ukomo lilikuwa kwenye maandalizi kimya kimya.
Niliuliza mnajuqje atafika hiyo 2025?

Hivi wewe nikisema sura yako imekaa kiwiziwizi utaiba hela mwaka 2025 tukufunge leo ili usiibe mwaka 2025, utaona hiyo ni hukumu ya haki?
 
Umati huu wote uliouona Tamzania wa kumlilia Hayati Rais Magufli bado unaamini kura ziliibiwa? Ile ilikuwa sunami.

Unajua kama ulivyo sema kuwa watu walio mwogopa Hayati Rais Maguduli waki-speculate vitu ambavyo havita tokea, ndivyo hivyo hivyo na wewe umefanya.

Kitendo cha kusema kuwa tatizo ni kuiba kura hilo nalo ni speculation. Huna takwimu na crues ambazo zina support hilo. Ni uongo mtupu. Nanyi mmesutwa na watanzania. Watanzania wamewaonyesha kuwa nyie mmjawa na fantasy ukqeli wa mambo hamwuujui.
Tuachane na kura za Urais. Vipi kura za wabunge, unaona zilikuwa sawasawa?
 
Ni kweli sio hukumu ya haki, lakini panapokuwa na moto mahali kunaanza kwanza kwa kufuka moshi.

Watu waliona mbali kuwa kutakuwa na hilo jaribio na kwa bahati mbaya hakukuwa na kitu cha kufanya kusimamisha hiyo hidden agenda zaidi ya kumlilia Mungu atuepushe.
 
Umati huu wote uliouona Tamzania wa kumlilia Hayati Rais Magufli bado unaamini kura ziliibiwa? Ile ilikuwa sunami.

Unajua kama ulivyo sema kuwa watu walio mwogopa Hayati Rais Maguduli waki-speculate vitu ambavyo havita tokea, ndivyo hivyo hivyo na wewe umefanya.

Kitendo cha kusema kuwa tatizo ni kuiba kura hilo nalo ni speculation. Huna takwimu na crues ambazo zina support hilo. Ni uongo mtupu. Nanyi mmesutwa na watanzania. Watanzania wamewaonyesha kuwa nyie mmjawa na fantasy ukqeli wa mambo hamwuujui.
Kura siyo kwamba ziliibiwa. Bali mchakato uliporwa . Wao wenyewe wanajua na mwenda zake amewahi kuwaambia wabunge kuwa wengine hawakushinda.
 
Mmemlaumu marehemu kwamba atajiongezea muda wa urais mwaka 2025.

Wakati amefariki 2021.

Ndiyo maana nikasema kumlaumu mtu leo kwa makosa atakayofanya mwaka 2025 ni ujinga.

Halafu niliwahi kuhoji, hiyo 2025 mnajuaje atafika?
Unajisafisha tu
 
Tuachane na kura za Urais. Vipi kura za wabunge, unaona zilikuwa sawasawa?
Hivyo wewe kwa akiri yako unafikiri watanzania ni mabogus kama wewe wa kushindwa kutambua kuwa wakitaka kitu kizuri na kinacho rahisishia maisha yao, nini wafanye ili kuwaletea urahisi huo wa maisha?

Kama Rais anapita kila mkoa na majimbo akisema nileteeni huyu nitafanya maujiza haya kwenye miko na najimbo yenu unategemea wananchi watasema hapana Rais kwa sababu huyu mbunge au diwani sisi hatumtaki? Mbona una akili za chooni kisai hicho?

Yaani wewe mda wote unakaa ukidhani watanzania hawataki maendeleo kwa vile Rais ni jiwe?

Angalia statistics za nchi ambazo zinaongoza kwenye kupeleka mahitaji au huduma muhinu za maisha ya binadam kama umeme, maji shule, barabara na zahati Afrika mpaka vijiji utaona Tanzania tuko katika position gani?

Tanzania ilikuwa inapaa na Magufuli ndugu yanfu na sio mchezo. Mpaka mwisho wa muhula wake huu wa pili nafikiri ulimwengu ungekuwa unaadika Story nyingine kuhusu sio Tanzania tu bali hata Afrika. Wewe!
 
Kura siyo kwamba ziliibiwa. Bali mchakato uliporwa . Wao wenyewe wanajua na mwenda zake amewahi kuwaambia wabunge kuwa wengine hawakushinda.
Imemwelewa vibaya. Yeye alimaanisha kwenye mchakato kuta za chama chake cha CCM na sio kwenye kura za nchi.

katika chama, nafikiri wewe mwenyewe, Ulishuhudia jinsi gani chama cha CCM kilivyo kuwa na wagombea wengi waliotaka kuwa wabunge kwa ticket ya CCM, sasa katika mchakato huo kwenye mikutano ya chama ndipo hapo wajumbe waliangalia nani ana vigezo vikubwa ambavyo vitawawezesha kumshinda mgombea wa upinzani. Kwa hali hiyo ilibidi wajumbe wa kamati kuu ya CCM kuwachgua wagombe ambao hata pengine hawakushinda ili mradi ana vigezo ambavyo wao waliona vinaweza vikawaletea ushindi dhidi ya mgombea wa mppinzani.

Kwa mfano jimbo la Kawe kamati kuu ya CCM ilimpendekeza Askofu Gwajima kuchuana na Halima Mdee japo kuwa kwenye kura za uchaguzi wa jimbo la Kawe Askofu Gwajima hakushinda, alishinda mgombea mwingine wa CCM ambaye jina lake silikumbuki vizuri. Lakini CCM ikaamua kumweka Askofu Gwajima kwa vile yule mwingine aliyeshinda hakuwa na vigezo ambavyo wao waliona vingeweza vikamfanya amshinde mgombea wa upinzani, Halima Mdee. Hicho ndicho alicho maanisha Hayati Rais Magufuli. Lakini kwa elimu yako ya darasa la saba na kuwa mkulikaji kwa maelezo kama hayo kwako ni very very complicated kuweza kuyaelewa.

Wito wangu kwako kijana nenda shule. Elimu bado ni ya bure. Unamda bado wa kujiendeleza mdogo wangu. Usikate tamaa ya maisha. Alili unazo. Usiteteleke. Maisha sio rahisi hivyo ni lazima upigane!
 
atabiri ya kuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazua Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.

Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.
Amina mtumishi, Mungu wetu ndie ajuaye na kutenda yote.
 
Imemwelewa vibaya. Yeye alimaanisha kwenye mchakato kuta za chama chake cha CCM na sio kwenye kura za nchi.

katika chama, nafikiri wewe mwenyewe, Ulishuhudia jinsi gani chama cha CCM kilivyo kuwa na wagombea wengi waliotaka kuwa wabunge kwa ticket ya CCM, sasa katika mchakato huo kwenye mikutano ya chama ndipo hapo wajumbe waliangalia nani ana vigezo vikubwa ambavyo vitawawezesha kumshinda mgombea wa upinzani. Kwa hali hiyo ilibidi wajumbe wa kamati kuu ya CCM kuwachgua wagombe ambao hata pengine hawakushinda ili mradi ana vigezo ambavyo wao waliona vinaweza vikawaletea ushindi dhidi ya mgombea wa mppinzani.

Kwa mfano jimbo la Kawe kamati kuu ya CCM ilimpendekeza Askofu Gwajima kuchuana na Halima Mdee japo kuwa kwenye kura za uchaguzi wa jimbo la Kawe Askofu Gwajima hakushinda, alishinda mgombea mwingine wa CCM ambaye jina lake silikumbuki vizuri. Lakini CCM ikaamua kumweka Askofu Gwajima kwa vile yule mwingine aliyeshinda hakuwa na vigezo ambavyo wao waliona vingeweza vikamfanya amshinde mgombea wa upinzani, Halima Mdee. Hicho ndicho alicho maanisha Hayati Rais Magufuli. Lakini kwa elimu yako ya darasa la saba na kuwa mkulikaji kwa maelezo kama hayo kwako ni very very complicated kuweza kuyaelewa.

Wito wangu kwako kijana nenda shule. Elimu bado ni ya bure. Unamda bado wa kujiendeleza mdogo wangu. Usikate tamaa ya maisha. Alili unazo. Usiteteleke. Maisha sio rahisi hivyo ni lazima upigane!
Mimi si mdogo wako. Mimi ni wa awamu ya kwanza . Tena si hivyo tu mimi ni kati ya wale million tisa waliopata uhuru wa nchi hii.

Gwajma hakumshinda Mdee. Hata wewe unajua Hilo. Na hata huko Mara CCM haikushinda majimbo mengi, bali yalitangazwa kuwa za ccm. Mwanza mjini ccm haikushinda jimbo, Ukerewe, Shinyanga mjini ccm haikushinda, Arusha, Iringa, nk . Alichofanya marehemu ni dhulma na Mungu amehukumu kwa haki.
 
Hivyo wewe kwa akiri yako unafikiri watanzania ni mabogus kama wewe wa kushindwa kutambua kuwa wakitaka kitu kizuri na kinacho rahisishia maisha yao, nini wafanye ili kuwaletea urahisi huo wa maisha?

Kama Rais anapita kila mkoa na majimbo akisema nileteeni huyu nitafanya maujiza haya kwenye miko na najimbo yenu unategemea wananchi watasema hapana Rais kwa sababu huyu mbunge au diwani sisi hatumtaki? Mbona una akili za chooni kisai hicho?

Yaani wewe mda wote unakaa ukidhani watanzania hawataki maendeleo kwa vile Rais ni jiwe?

Angalia statistics za nchi ambazo zinaongoza kwenye kupeleka mahitaji au huduma muhinu za maisha ya binadam kama umeme, maji shule, barabara na zahati Afrika mpaka vijiji utaona Tanzania tuko katika position gani?

Tanzania ilikuwa inapaa na Magufuli ndugu yanfu na sio mchezo. Mpaka mwisho wa muhula wake huu wa pili nafikiri ulimwengu ungekuwa unaadika Story nyingine kuhusu sio Tanzania tu bali hata Afrika. Wewe!
Nenda kajiuze huko huna hoja.
 
Back
Top Bottom