Natabiri jaribio lolote la kubadilisha Katiba na ukomo wa Rais litaibua mazito

Mimi si mdogo wako. Mimi ni wa awamu ya kwanza . Tena si hivyo tu mimi ni kati ya wale million tisa waliopata uhuru wa nchi hii.

Gwajma hakumshinda Mdee. Hata wewe unajua Hilo. Na hata huko Mara CCM haikushinda majimbo mengi, bali yalitangazwa kuwa za ccm. Mwanza mjini ccm haikushinda jimbo, Ukerewe, Shinyanga mjini ccm haikushinda, Arusha, Iringa, nk . Alichofanya marehemu ni dhulma na Mungu amehukumu kwa haki.
Kwa kumsaidia tu ccm mkoa wa Mara ilishinda jimbo moja tu la Musoma vijijini na Butiama ambako mgombea alipita bila kupingwa.
 
Umati huu wote uliouona Tanzania wa kumlilia Hayati Rais Magufli bado unaamini kura ziliibiwa? Ile ilikuwa sunami.

Unajua kama ulivyo sema kuwa watu walio mwogopa Hayati Rais Maguduli waki-speculate vitu ambavyo havita tokea, ndivyo hivyo hivyo na wewe umefanya.

Kitendo cha kusema kuwa tatizo ni kuiba kura hilo nalo ni speculation. Huna takwimu na crues ambazo zina support hilo. Ni uongo mtupu. Nanyi mmesutwa na watanzania. Watanzania wamewaonyesha kuwa nyie mmejawa na fantasy ukweli wa mambo hamwuujui.

Hicho siyo kipimo !

[emoji14][emoji14][emoji14]

Umenikumbusha ndugu Hashim Rungwe Sipunda kuhusu uchaguzi wa Mwaka 2015 baada ya matokeo kutangazwa alisema “

kuna uwezekano mkubwa sana kuwa alishinda huo uchaguzi sababu pole alizopata toka kwa watu ni nyingi sana kuliko idadi ya kura alitangaziwa kupata “[emoji3][emoji3][emoji3]

Imagine?!

Bongo bahati nzuri sana!
 
Kuna ushahidi sehemu nyingi sana kura ziliibiwa, kwa hiyo usilete habari za kuamini wakati tunaweza kukagua ushahidi.

Umati wa Watanzania hauna uhusiano wowote na kura.

Hata Mrema gari lake lilisukumwa na umati akajua ameshakuwa rais, lakini matokeo yalikuwa tofauti.

Watanzania hata ukiwapigia mdundiko tu wanajaa, wengi hawana kazi, kwa hiyo umati si hoja.

Mtanzania ana uwezo mkubwa sana wa kukusifia kwa "mob psychology" huku ndani kabisa anakuchukia.
Asante mkuu umeandika vizuri sana. Lakiki kabla sianza kujibu machongo wako wa hoja nilitamani nikuulize baadhi badhi ya vitu.

1. Hivi unajua umuhinu wa elimu bure kwa mzazi mwenye watotowawili au zaidi?

2. Hivi unajua maana na umuhimu wa kuwa nanhuduma nzuri za matibabu na uhakika wa kupata dawa ili kutibu magonjwa,

3. Hivi unajua umuhimu wa kuwa na huduma nyingine muhimu.katika maisha ya binadam, kama umeme, maji na barabara na hasa mikoani au vijijini?

Ningekuomba kama una ndugu yako kwenye kijiji ambacho miundo mbinu hii bado haijaingia, nenda kawatembelee kwa muda wa mwezi mmoja huoni jinsi maisha huko yalivyo, alafu ndiyo uje uniambie kuwa
"Kuna ushahidi sehemu nyingi sana kura ziliibiwa, kwa hiyo usilete habari za kuamini wakati tunaweza kukagua ushahidi."

Wewe unafikiri wazazi wenye kipato kido wikirahisishiwa gharama za kuwalipia watoto wao ada za shule, wazazi hao katika chumba cha kupiga kura watakubali.kwa hiari yao kumpigua kura mtu ambaye kwanza haishi nchini, pili anaenda kutupakazia uongo na kuyaomba mataifa makubwa watunyime sisi misaada, na tatu mtu ambaye hana sera kabisa mbali na kumtukana Rais aliyeko madarakani na kuwadanganya wazazi hao maovu aliyo yafanya ambayo wao hawayaoni na wala kusikia mtu akillalamika?

Wewe unafikiri mtu aliyeugua kweli kweli na kupelekwa kwenye hospitali za karibu ili kupata matibabu na hali yake ya maisha kurejea tena, mtu kama huyu atampigia kura Tundu Lissu kweli? Je kuhusu ndugu zake je wanaomtegema?

Mtu anaye ishi Bukoba na Ukerewe na maeneo mengine na ni mkulima anaye zalisha mazao kama ndizi na mengineyo sasa amepata urahisi wa kusafirisha mazao yake kwa meli kwenda Mwanza na kwa bei rahisi na kupunguza bei ya mazao yake sokoni na kupata faida kubwa, mtu kama huyu atampa kura yake kwa hiari Tundu Lissu eti kwa sababu anatoka Ubelgiji kwa wazungu?

Wewe unafikiri mtu kama mimi na ndugu zangu wa Mbamba Bay Nyasa amnao tunajengewa barabara nzuri ya lami ambayo inatufanya sisi mda wote, kama Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa alivyosema kwenye uzinduzi wa Meli kule Mbamba Bay, kutereza kwenye lami kama kwenye ndege, nitampa kura yangu kwa hiari Tundu Lissu wakati natambua fika kuwa Hayati Rais Magufuli katuletea barabara ambayo itatufanya sisi wanyasa tuweze peleka dagaa zetu na samaki kwenye masoko kwa urahisi na gharama ndogo Mbinga, Peramiho, Songea na kwingineko kweli?

Wewe kwa akiri zako ndogo unafikiri mtu ambaye anapta huduma za umeme na maji kwa uhakika mtu kama huyu atampa kura yake Tundu Lissu ambaye hananuhakika naye kweli?

Aisee kama una mawazo ya aina hiyo kwenye kujaji upendo wa binadam kwa viongozi wao, basi nakusikitikia sana, kwani kwa uzoefu wangu wa wstu kama nyie unanionyesha jinsi gani mlivyokuwa majuha wa kukosa uelewa wa binadam na kujifanya mnajua mengi wakati kumbe hamjui chochote.

Kama unashindwa kujiuliza na kutambua vitu au vigezo ambavyo vimemwezesha mweshimiwa Hayati Rais Magufuli kuweza kupata ushindi wa kishindo zidi ya oponent Tundu Lissu na kukimbilia kudai kuwa kura zingekuwa zimechakachuliwa, aisee hiyo ninakili ndogo sana. Kwani inanionyesha level ya thinking capacity yako ambayo kwa masikitikao makubwa naweza kukuambia kuwa ni sawa na ya mtoto wa darasa la tatu. Yaani hiyo ni level ya chini sana mtu ambaye ameliona darasa kwa ndani.

Nakuomba usije kwangu na Arguments ambazo hazina miguu wala mikono. Fikiria kwanza kabla hujachukua .amuzi ya kutaka kuxhangianhoja ambazo huna huwezo nazo based kwenye Story ambazo mnadanganyana mkiwa kijiweni. Maamuzi kama haya matokeo yake mnaumbuka kwa sababu ya kuvamia vitu bila kuwaza kwanza.

Nina uhakika mkubwa kuwa umati ni hoja. Kama umati ungekuwa sio hoja basi Wafaransa wasingeweza kumtoa Mfalme wao Luis XVI. na Malkia wao Marie Antoinette mke wa Mfalme wao Ludwig XVI ambao waliwanyonga kwenye Guillotone wakati wa Frenchrevolution.
 
Natabiri ya kuwa jaribio lolote la kubadili katiba na kurefusha ukomo wa Rais litazua Moto wa kisiasa ambao haukuwahi kutokea tangu kuwepo kwa Taifa hili.

Yani hamtoamini wala kudhania. Itakuwa ni siku mbaya na nzito kwa Taifa ndipo sote tutaamini kweli kuna deep state in side state.

Nasali Jambo hili lisitokee wala kusemwa tu. Madhara yake yatatutesa sana kama Taifa.

Mungu ibariki Tanzania.
... Mungu amekataa jaribio la aina hiyo!
 
Nenda kajiuze huko huna hoja.
Uwezo wako wa kufikiri ni wa mtoto wa darasa latatu alafu unataka kushindana na watu ambao wana exposure ya ulimwengu. Utakuwa mwenda wazimu. Hujui chochote.

Endelea kujipakaza jasho lako la kwapani Uswahilini Bongo. Jua kaliii hata friji ndani la kuweka maji baridi huna. Pumbavu sana.
 
Asante mkuu umeandika vizuri sana. Lakiki kabla sianza kujibu machongo wako wa hoja nilitamani nikuulize baadhi badhi ya vitu.

1. Hivi unajua umuhinu wa elimu bure kwa mzazi mwenye watotowawili au zaidi?

2. Hivi unajua maana na umuhimu wa kuwa nanhuduma nzuri za matibabu na uhakika wa kupata dawa ili kutibu magonjwa,

3. Hivi unajua umuhimu wa kuwa na huduma nyingine muhimu.katika maisha ya binadam, kama umeme, maji na barabara na hasa mikoani au vijijini?

Ningekuomba kama una ndugu yako kwenye kijiji ambacho miundo mbinu hii bado haijaingia, nenda kawatembelee kwa muda wa mwezi mmoja huoni jinsi maisha huko yalivyo, alafu ndiyo uje uniambie kuwa
"Kuna ushahidi sehemu nyingi sana kura ziliibiwa, kwa hiyo usilete habari za kuamini wakati tunaweza kukagua ushahidi."

Wewe unafikiri wazazi wenye kipato kido wikirahisishiwa gharama za kuwalipia watoto wao ada za shule, wazazi hao katika chumba cha kupiga kura watakubali.kwa hiari yao kumpigua kura mtu ambaye kwanza haishi nchini, pili anaenda kutupakazia uongo na kuyaomba mataifa makubwa watunyime sisi misaada, na tatu mtu ambaye hana sera kabisa mbali na kumtukana Rais aliyeko madarakani na kuwadanganya wazazi hao maovu aliyo yafanya ambayo wao hawayaoni na wala kusikia mtu akillalamika?

Wewe unafikiri mtu aliyeugua kweli kweli na kupelekwa kwenye hospitali za karibu ili kupata matibabu na hali yake ya maisha kurejea tena, mtu kama huyu atampigia kura Tundu Lissu kweli? Je kuhusu ndugu zake je wanaomtegema?

Mtu anaye ishi Bukoba na Ukerewe na maeneo mengine na ni mkulima anaye zalisha mazao kama ndizi na mengineyo sasa amepata urahisi wa kusafirisha mazao yake kwa meli kwenda Mwanza na kwa bei rahisi na kupunguza bei ya mazao yake sokoni na kupata faida kubwa, mtu kama huyu atampa kura yake kwa hiari Tundu Lissu eti kwa sababu anatoka Ubelgiji kwa wazungu?

Wewe unafikiri mtu kama mimi na ndugu zangu wa Mbamba Bay Nyasa amnao tunajengewa barabara nzuri ya lami ambayo inatufanya sisi mda wote, kama Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa alivyosema kwenye uzinduzi wa Meli kule Mbamba Bay, kutereza kwenye lami kama kwenye ndege, nitampa kura yangu kwa hiari Tundu Lissu wakati natambua fika kuwa Hayati Rais Magufuli katuletea barabara ambayo itatufanya sisi wanyasa tuweze peleka dagaa zetu na samaki kwenye masoko kwa urahisi na gharama ndogo Mbinga, Peramiho, Songea na kwingineko kweli?

Wewe kwa akiri zako ndogo unafikiri mtu ambaye anapta huduma za umeme na maji kwa uhakika mtu kama huyu atampa kura yake Tundu Lissu ambaye hananuhakika naye kweli?

Aisee kama una mawazo ya aina hiyo kwenye kujaji upendo wa binadam kwa viongozi wao, basi nakusikitikia sana, kwani kwa uzoefu wangu wa wstu kama nyie unanionyesha jinsi gani mlivyokuwa majuha wa kukosa uelewa wa binadam na kujifanya mnajua mengi wakati kumbe hamjui chochote.

Kama unashindwa kujiuliza na kutambua vitu au vigezo ambavyo vimemwezesha mweshimiwa Hayati Rais Magufuli kuweza kupata ushindi wa kishindo zidi ya oponent Tundu Lissu na kukimbilia kudai kuwa kura zingekuwa zimechakachuliwa, aisee hiyo ninakili ndogo sana. Kwani inanionyesha level ya thinking capacity yako ambayo kwa masikitikao makubwa naweza kukuambia kuwa ni sawa na ya mtoto wa darasa la tatu. Yaani hiyo ni level ya chini sana mtu ambaye ameliona darasa kwa ndani.

Nakuomba usije kwangu na Arguments ambazo hazina miguu wala mikono. Fikiria kwanza kabla hujachukua .amuzi ya kutaka kuxhangianhoja ambazo huna huwezo nazo based kwenye Story ambazo mnadanganyana mkiwa kijiweni. Maamuzi kama haya matokeo yake mnaumbuka kwa sababu ya kuvamia vitu bila kuwaza kwanza.

Nina uhakika mkubwa kuwa umati ni hoja. Kama umati ungekuwa sio hoja basi Wafaransa wasingeweza kumtoa Mfalme wao Luis XVI. na Malkia wao Marie Antoinette mke wa Mfalme wao Ludwig XVI ambao waliwanyonga kwenye Guillotone wakati wa Frenchrevolution.
Kwanza kabisa, wewe unaelewa kwamba kanuni za kiuchumi zinakataza kuwepo na kitu cha bure?

Unaelewa kwamba unapoambiwa "elimu bure" hapo lazima kuna mtu analipia kwa aina moja au nyingine?

Kwa sababu ni lazima walimu walipwe mishahara, madarasa yajengwe, vitabu vinunukiwe.

Sasa hapo "elimu bure" itatokea wapi?

Unaelewa kwamba watu wanalalamikia michango katika mfumo huo wa "elimu bure"?
 
Hicho siyo kipimo !

[emoji14][emoji14][emoji14]

Umenikumbusha ndugu Hashim Rungwe Sipunda kuhusu uchaguzi wa Mwaka 2015 baada ya matokeo kutangazwa alisema “

kuna uwezekano mkubwa sana kuwa alishinda huo uchaguzi sababu pole alizopata toka kwa watu ni nyingi sana kuliko idadi ya kura alitangaziwa kupata “[emoji3][emoji3][emoji3]

Imagine?!

Bongo bahati nzuri sana!
Si alipeleka wakala wake kwenye vyumba vya kuhesabia. Hakupata nakala za mshindi?
 
Asante mkuu umeandika vizuri sana. Lakiki kabla sianza kujibu machongo wako wa hoja nilitamani nikuulize baadhi badhi ya vitu.

1. Hivi unajua umuhinu wa elimu bure kwa mzazi mwenye watotowawili au zaidi?

2. Hivi unajua maana na umuhimu wa kuwa nanhuduma nzuri za matibabu na uhakika wa kupata dawa ili kutibu magonjwa,

3. Hivi unajua umuhimu wa kuwa na huduma nyingine muhimu.katika maisha ya binadam, kama umeme, maji na barabara na hasa mikoani au vijijini?

Ningekuomba kama una ndugu yako kwenye kijiji ambacho miundo mbinu hii bado haijaingia, nenda kawatembelee kwa muda wa mwezi mmoja huoni jinsi maisha huko yalivyo, alafu ndiyo uje uniambie kuwa
"Kuna ushahidi sehemu nyingi sana kura ziliibiwa, kwa hiyo usilete habari za kuamini wakati tunaweza kukagua ushahidi."

Wewe unafikiri wazazi wenye kipato kido wikirahisishiwa gharama za kuwalipia watoto wao ada za shule, wazazi hao katika chumba cha kupiga kura watakubali.kwa hiari yao kumpigua kura mtu ambaye kwanza haishi nchini, pili anaenda kutupakazia uongo na kuyaomba mataifa makubwa watunyime sisi misaada, na tatu mtu ambaye hana sera kabisa mbali na kumtukana Rais aliyeko madarakani na kuwadanganya wazazi hao maovu aliyo yafanya ambayo wao hawayaoni na wala kusikia mtu akillalamika?

Wewe unafikiri mtu aliyeugua kweli kweli na kupelekwa kwenye hospitali za karibu ili kupata matibabu na hali yake ya maisha kurejea tena, mtu kama huyu atampigia kura Tundu Lissu kweli? Je kuhusu ndugu zake je wanaomtegema?

Mtu anaye ishi Bukoba na Ukerewe na maeneo mengine na ni mkulima anaye zalisha mazao kama ndizi na mengineyo sasa amepata urahisi wa kusafirisha mazao yake kwa meli kwenda Mwanza na kwa bei rahisi na kupunguza bei ya mazao yake sokoni na kupata faida kubwa, mtu kama huyu atampa kura yake kwa hiari Tundu Lissu eti kwa sababu anatoka Ubelgiji kwa wazungu?

Wewe unafikiri mtu kama mimi na ndugu zangu wa Mbamba Bay Nyasa amnao tunajengewa barabara nzuri ya lami ambayo inatufanya sisi mda wote, kama Waziri Mkuu Majaliwa Majaliwa alivyosema kwenye uzinduzi wa Meli kule Mbamba Bay, kutereza kwenye lami kama kwenye ndege, nitampa kura yangu kwa hiari Tundu Lissu wakati natambua fika kuwa Hayati Rais Magufuli katuletea barabara ambayo itatufanya sisi wanyasa tuweze peleka dagaa zetu na samaki kwenye masoko kwa urahisi na gharama ndogo Mbinga, Peramiho, Songea na kwingineko kweli?

Wewe kwa akiri zako ndogo unafikiri mtu ambaye anapta huduma za umeme na maji kwa uhakika mtu kama huyu atampa kura yake Tundu Lissu ambaye hananuhakika naye kweli?

Aisee kama una mawazo ya aina hiyo kwenye kujaji upendo wa binadam kwa viongozi wao, basi nakusikitikia sana, kwani kwa uzoefu wangu wa wstu kama nyie unanionyesha jinsi gani mlivyokuwa majuha wa kukosa uelewa wa binadam na kujifanya mnajua mengi wakati kumbe hamjui chochote.

Kama unashindwa kujiuliza na kutambua vitu au vigezo ambavyo vimemwezesha mweshimiwa Hayati Rais Magufuli kuweza kupata ushindi wa kishindo zidi ya oponent Tundu Lissu na kukimbilia kudai kuwa kura zingekuwa zimechakachuliwa, aisee hiyo ninakili ndogo sana. Kwani inanionyesha level ya thinking capacity yako ambayo kwa masikitikao makubwa naweza kukuambia kuwa ni sawa na ya mtoto wa darasa la tatu. Yaani hiyo ni level ya chini sana mtu ambaye ameliona darasa kwa ndani.

Nakuomba usije kwangu na Arguments ambazo hazina miguu wala mikono. Fikiria kwanza kabla hujachukua .amuzi ya kutaka kuxhangianhoja ambazo huna huwezo nazo based kwenye Story ambazo mnadanganyana mkiwa kijiweni. Maamuzi kama haya matokeo yake mnaumbuka kwa sababu ya kuvamia vitu bila kuwaza kwanza.

Nina uhakika mkubwa kuwa umati ni hoja. Kama umati ungekuwa sio hoja basi Wafaransa wasingeweza kumtoa Mfalme wao Luis XVI. na Malkia wao Marie Antoinette mke wa Mfalme wao Ludwig XVI ambao waliwanyonga kwenye Guillotone wakati wa Frenchrevolution.

Na wewe nikuulize hivi unajua maana ya bure?

Kwenye hiki kinachoitwa elimu bure mimi napenda niite ni elimu bila ada, mimi nimetoka kusomesha awamu ya nne, na ninasomesha awamu hii ya tano

Michango bado ipo mashuleni hasa shule za kata, vifaa vya kujifunzia daftari, vitabu nk kuna sare (shirt, suruali/sketi, t-shirt na viatu)

Tena kuna shule wana sare za aina mbili bila kusahau track suit na raba kwaajili ya michezo, naomba nikuambie mkuu bila laki 1 na kitu kwa mtoto mmoja bado huwezi kumpeleka shule

Kwa mTanzania mnyonge aliekuwa anatetewa achana na hawa vijana machinga hapa namuongelea mkulima kabisa (zaidi ya 65% waTanzania ni wakulima)

Ambae kalima mahindi na mpunga(sitaji mazao ya biashara kama pamba nk kwa sababu yalishajifia)

Anaetegemea kuuza mazao ndo apeleke mtoto shule kwa bei hizi mbovu bado anategemea na yeye ale humo humo
 
Alivyoanza na elimu bure tu nikaona majanga.

Bora umemjibu kwa mfano.
 
Back
Top Bottom