Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

sijui kwanini kichwa changu kimekua kigumu kuelewa siku hizi
 
Huyu ni Y. K. T. Mu toka nchi Yu.
 
Putin? Sitoshangaa wenzake wakiamua kumpumzisha, he is way over his head. Ile siku kabla ya vita alimsimanga kweli spy chief wake mbele ya vyombo vya habari kisa jamaa alikuwa anaenda kinyume na script na kutaka kupendeza diplomasia zaidi.
JFK wa USA alikuwa assasinated baada ya kutaka kuifutilia mbali CIA.

Scenario hii ya Putin niliiwaza mara baada ya vikwazo kuanza.

Hao Oligarchs wakibanwa sana watamuondoa.
 
Hii para ya 4 inaharibu hoja yako kuwa huu ni utabiri
 
Ikitokea hivyo itakuwa ahueni kwa Dunia kama vile Tzn tulivyopata ahueni japo utabiri wako by then ulichukua mda mrefu Sana.

Ila hili la Ulaya tunatamani litokee hata sasa Ili Dunia ipumue.
 
Acha uboya ww, utabiri gani ulionao ww?
 
Hata kwa ibilisi joka kuu mlikuwa mnasema hivyo na mkimuita stone. Lakini Mungu alishuka ma utukufu wake ukawa manifested kwa kila mtu. Wanasema angukola mtu ni pale kiburi chake kinapozidi. Huyu Putin kwa sasa hili ndo anguko lake hachomoki.

Tayari ashapoteza majenerali wanne wa kutegemewa,jeshi limeshaanza kupungua morali,huko Urusi upinzani dhidi ya vita ni mkubwa,vikwazo vya kibiashara ndo hivyo vinazidi kubana na yeye bado anaamini atashinda vita hivi. Wataalamu wake wa kijasusi wamevujisha andiko kuwa walimshauri akakataa. Alimiscalculate nguvu ya Wakraine. Sasa ameshapagawa unaona sasa anashambulia raia badala ya majeshi. Mwisho wake umefika tu narudia hachomoki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…