Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

Natabiri Rais wa taifa kubwa huko Ulaya atapumzishwa jambo la kutisha sana

1646864308186.png

ulinzi wao sio wa kitoto, kuna mmoja wao hadi kinyesi chake kinalindwa!
utakufa wewe mkuu TumainiEl

1646864515626.png
 
Kuhusu kufa inaweza kuwa kweli ingawa ukweli hii vita Rusia atashindwa vibaya mno.
 
Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye Yupo nahakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.

Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya dunia kukaa kimya nakumuogopa Mungu baada ya kiongozi mkubwa wataifa moja kubwa duniani kuzima akiwa usingizini. Na kifo hiko kitakuwa kifo cha shinikizo la damu na kitakuwa ghafla wakati wa usiku wa manane.

Ndugu zangu kifo hicho kita ambatana na msururu wa vifo vya majemedari na wakuu wa idara za taifa hilo jambo kila mtu atabaki kinywa wazi.

Taarifa za siri zinasema mkuu huyo amesha pewa red light na watu wakubwa na washauri wake ila moyo wake unataka kumwaga dam tu akiamini yeye ananguvu na hakuna wakumgusa... Amesahau kuwa goliati aliuwawa na kijana mbichi ambaye hakuwa na mafunzo ya kijeshi yeyote zaidi ya kuuwa dubu mwituni...
Siku zina hesabika kwa taifa hilo na kila mtu asali kwa imani yake. Amen
Haa ha ha ha; tukubaliane kwanza; hi sio UNABII ila ni utashi wako; kwa maneno mengine haya ni mawazo na mapenzi yako kwamba itimie na sio unabii.
Kumbuka, moja kati ya dalili za siku za mwisho (tena alisema Yesu mwenyewe ) "kutakua na vita na tetesi za vita, taifa litapigana na lingine" Sasa nyie mlikua mnataka WAKUPIGANA wawe Waafrica na Waarabu tu? Wazungu hapana? Mungu hawezi kwenda kinyume na unabii wake mwenyewe
 
Back
Top Bottom