Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Hapana ngoja tusubiri jibu meanwhile let it be just a spinning laughter of its kindMu7?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ngoja tusubiri jibu meanwhile let it be just a spinning laughter of its kindMu7?
Chawa kama chawa.Bangi sio mbaya ,,ubaya unakuja pale ukivutia chooni halafu una njaa..
Chawa wa Putin au ?Chawa kama chawa.
Putin atakufa soon,hutaamini.Putin hawexi kufa
Uligusa myahudi jiandae haihitaji utabiri kujua kitamkuta nini aliyewavamia ni obviousMbona hizi tabirir hamkuzifanya enzi Gadafi,Mo Husein wananauawa. Au Waparestina wanauawa? Hata hivyo Putin anasali sana kwa Methodist siyo mpagani anajua kabisa ukuu wa Mungu.
Kwanini hawezi kufa my wangu?Putin hawexi kufa
Putin lazima auawe ili amani ya dunia irudi...Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye Yupo nahakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.
Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya dunia kukaa kimya nakumuogopa Mungu baada ya kiongozi mkubwa wataifa moja kubwa duniani kuzima akiwa usingizini. Na kifo hiko kitakuwa kifo cha shinikizo la damu na kitakuwa ghafla wakati wa usiku wa manane.
Ndugu zangu kifo hicho kita ambatana na msururu wa vifo vya majemedari na wakuu wa idara za taifa hilo jambo kila mtu atabaki kinywa wazi.
Taarifa za siri zinasema mkuu huyo amesha pewa red light na watu wakubwa na washauri wake ila moyo wake unataka kumwaga dam tu akiamini yeye ananguvu na hakuna wakumgusa... Amesahau kuwa goliati aliuwawa na kijana mbichi ambaye hakuwa na mafunzo ya kijeshi yeyote zaidi ya kuuwa dubu mwituni...
Siku zina hesabika kwa taifa hilo na kila mtu asali kwa imani yake. Amen
Toa uchuro wako hapa.Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye Yupo nahakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.
Siku sio nyingi Mungu anaenda kuonyesha jambo lakutisha sana jambo litaifanya dunia kukaa kimya nakumuogopa Mungu baada ya kiongozi mkubwa wataifa moja kubwa duniani kuzima akiwa usingizini. Na kifo hiko kitakuwa kifo cha shinikizo la damu na kitakuwa ghafla wakati wa usiku wa manane.
Ndugu zangu kifo hicho kita ambatana na msururu wa vifo vya majemedari na wakuu wa idara za taifa hilo jambo kila mtu atabaki kinywa wazi.
Taarifa za siri zinasema mkuu huyo amesha pewa red light na watu wakubwa na washauri wake ila moyo wake unataka kumwaga dam tu akiamini yeye ananguvu na hakuna wakumgusa... Amesahau kuwa goliati aliuwawa na kijana mbichi ambaye hakuwa na mafunzo ya kijeshi yeyote zaidi ya kuuwa dubu mwituni...
Siku zina hesabika kwa taifa hilo na kila mtu asali kwa imani yake. Amen
Wacha porojo weweNadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye Yupo nahakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu na uchu wa madaraka.