NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

ngoja nikujibu kwa kina wewe kiazi , onyesha uzi nimejipendekeza kwako , nikuonyeshe uzi umefungua kujipendekeza kwangu wewe papai
Heh!!
Papai??
Mungu wangu!!
 
Kikawaida wanaume wanaotetea wanawake public hata familia zao unakuta hazina Amani, hawawezi mambo madogo kama kuendesha familia, kudhibiti Wake zao, kutiisha watoto.
Sawa kaka.
Naendelea kujifunza kupitia nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…