Unajua kwa nini ni mwiba?To me: Dini zote tatu (Abrahamic) ni mwiba mkali kwa mwanamke, Mungu aliamua awe mwiba mkali kwa wanawake? Huu mjadala siutaki na sitau-entertain……….
Mwanaume mwenye utimamu wa akili hawezi kuwa ambassador wa feminismKikawaida wanaume wanaotetea wanawake public hata familia zao unakuta hazina Amani, hawawezi mambo madogo kama kuendesha familia, kudhibiti Wake zao, kutiisha watoto.
Vitu vingine sina rejea sababu ni opinion sio facts. Unaweza kuchallenge my opinions kwa opinions au kwa facts.Inabidi unavyoweka hizi hoja uwe unakuja na rejea kidogo hatuwezi kuamini maneno matupu..
This makes sense. At first hakuna aliyeona issue kuwa ni mfumo kandamizi, dai hili linaeleza how dynamic society is.Hakukuwa mfumo kandamizi mimi kwa mafikirio yangu patriachy haukuwa mfumo labda useme ilikuwa ni kitu kilicho tafsiri wa baada ya watu kuanza kusoma na kuanza kuweka label kwenye kila kitu..
Mtego! Nimesema kitu cha asili hakitoi mwanya wa mabadiliko… ni kauli ya jumla iliyokuwa na la kuchallenge kwanini mfumo wa maisha ulikumbwa na mabadiliko, since tuliuita ni wa asili, kwahiyo umenirudishia swali how about concepts za gender… kama asili inambua gender, kwanini kumekuwapo na mashoga si ndio? 😅What about gender concepts mbona watu wanajiamulia kuwa mashoga?
Uhalisia wa asili? Imani yangu hainiambii hivi.Usiifanye patriachy kama concept bali uhalisia wa nature
Ofcoz, na ndio maana kumuweka binadamu katika balance zikatungwa sheria, my concern here is; mfumo dume kwa kutokutambua haki za wanawake, huwa wanapinga sheria zozote ambazo zitampa haki mwanamke, (kwa sasa tunaweza tumia Talibani kama jamii iliyotopea bado katika mfumo dume) ndio swali langu linatumika kuchallenge mfumo dume, kuwa; kumpa mtu haki yake inahitaji kupigiwa kelele? ilihitaji mpaka wanawake tudai haki na tufanye movements? Kama ndivyo basi ni mfumo usiofaa.You're concerns about abuse ni kweli ila yote haya ni kwa sababu ya human egoic conditioning na sio ya kuwa ni mfumo dume.. Hata wanaume kwa Wanaume wanafanyiana abuse, even women too do shitty stuff
😅 nashindwa kwelewa! (kwa sauti ya mchina)Umeshuka madini mpaka nimetetemeka...
Ila truth be told haya yote yame kuja after mgawanyiko... Na gaslighting baina ya mwanamke na mwanaume...
Mbona wanyama wanatushinda jamani?
SITAKI.Unajua kwa nini ni mwiba?
Ni kwasababu ya udhaifu mulionao...
Hamjui mmetoka ubavuni mwetu?
Ni nani aliye kuwa tempted kwenye Bustani ya eden?
Why?Mwanaume mwenye utimamu wa akili hawezi kuwa ambassador wa feminism
Sasa kwa nini tujadili opinions? It's meaningless, ni sawa na kuanza kubishana kwanini democracy haiexist wakati tunajua a society is made up of individuals with different motivesVitu vingine sina rejea sababu ni opinion sio facts. Unaweza kuchallenge my opinions kwa opinions au kwa facts.
Basi twapaswa kushikilia huko huko mwanzo na si kurudia pattern za kubishana bila kufikia mwafakaThis makes sense. At first hakuna aliyeona issue kuwa ni mfumo kandamizi, dai hili linaeleza how dynamic society is.
Yes,.... Unaposema asili haitoki mwanya unakosea... Humans have free will.... Saiz mpaka kuna replication ya artificial intelligence kwenye vision kwa watu wasio ona... So nature inaweza kuwa tinkered vizuri tuuMtego! Nimesema kitu cha asili hakitoi mwanya wa mabadiliko… ni kauli ya jumla iliyokuwa na la kuchallenge kwanini mfumo wa maisha ulikumbwa na mabadiliko, since tuliuita ni wa asili, kwahiyo umenirudishia swali how about concepts za gender… kama asili inambua gender, kwanini kumekuwapo na mashoga si ndio? 😅
I guess sina jibu kwenye swali uliloniuliza, what’s your take?
Nasema ni halisi kwa sababu niki angalia wanyama hasa mammalian wanabehave the same way.... Dume lazima liwe na dominance..Uhalisia wa asili? Imani yangu hainiambii hivi
Issue ni kuwa kabla hata ya hizi labels mwanaume amekuwa soo concerning kwa wanawake, hata jamii inampa mwanamke kipaombele... It's women's lack of wisdom kujua anasimama wapi! Si mnamuona chura kiziwi? That's what am talking about... Even you trying to argue is an extention of a lot of issues(siku attack am just saying)... Mwanamke akisoma au kufikia hireachy fulani kimaisha hugeuka kuwa mbogo kabisa... They loose their femininity.Ofcoz, na ndio maana kumuweka binadamu katika balance zikatungwa sheria, my concern here is; mfumo dume kwa kutokutambua haki za wanawake, huwa wanapinga sheria zozote ambazo zitampa haki mwanamke, (kwa sasa tunaweza tumia Talibani kama jamii iliyotopea bado katika mfumo dume) ndio swali langu linatumika kuchallenge mfumo dume, kuwa; kumpa mtu haki yake inahitaji kupigiwa kelele? ilihitaji mpaka wanawake tudai haki na tufanye movements? Kama ndivyo basi ni mfumo usiofaa.
I wish that one day Uta amka kutoka usingizi na u admit...😅 nashindwa
Uli persieve vibaya....Why?
Siku ile either ni wewe au me&me mliniambia wanaume ndio wali-tu grant “haki” ikiwemo na haki kupigania maslahi yetu (feminism)
Unadhani kwanini wakifanya hivyo? Sababu hiyo hiyo ndio inawafanya wanaume watutetee hadi leo hii.
Haswaa mzee wangu.Ni kweli, mabandiko ya dogo ni kama sindano ya quinine ila yanasaidia wanaotaka kusaidika.
Ngoja nikupe codeSITAKI.
Nimeweka nukta na Prida.
Huwa sitaki kuingia kwenye mijadala ya mambo ya dini.
Yeah mwamb yupo vinzur,kanisahidia san kuhus wanawake tabiya zaoView attachment 3644454
Wasukuma tunasema;
MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!!
Maashiiine!!!😅
Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums.
Ladies and gentlewomen,
I know,in the ladiesland NATAFUTA AJIRA is a Villain kwa sababu tunaamini anatuchukia hivyo na wengi wetu humu tunamchukia.
Binafsi nilikua namchukia sana huyu memba na kuna siku nilimzingua.Niliku namuona ni pyscho ila baada ya kumuelewa kwa sasa huyu ni moja ya members ninaowaheshinu sana kwa sababu mabandiko yake machungu na yanayoumiza sometimes, yameongeza thamani ktk uanamke wangu.
Beautiful ladies,amiini kwamba wanaume wanaompinga Natafuta Ajira wanafanya hivyo kujipendekeza tu kwa wanawake kwa matumaini ya kutupata kirahisi ila wote wanakubaliana nae sababu nimegundua kuwa mitazamo ya natafuta ajira ndio mitazamo ya asilimia kubwa au mia ya wanaume.
Tofauti ni kwamba Natafuta ajira anawaza kwa sauti/text na wengine wanawaza silently vichwani mwao.Naamini kabisa wanafurahia sana hizi nyundo za pua anazotupiga nazo kwa niaba yao.
Kwa hiyo ladies ukitaka kuwa yule mwanamke wa MITHALI 31,yaani
1)Mwanamke tajiri
2)Mwanamke bora katika fani/hustle zako.
3)Mwanamke bora na mwenye faida kwa jamii yake.
4)Mama bora kwa nyumba yake.
5)Mke mwema na bora kwa mumewe.
Soma mabandiko ya Natafuta ajira ila chuki yako dhidi yake ipe likizo kwanza ndo utamuelewa.
Ladies and gentlewomen ,naomba nimalizie kwa kusema kwamba,iwapo wanawake tutakua hata nusu ya vile Natafuta ajira anatamani tuwe amini nawaambia tutawaepusha wanaume zetu na vifo vya mapema.Huyu sio adui yetu,ni mwalimu wetu mzuri sana.
Pia kabla sijaweka simu chini ili nitumie mikono kumasaji kitoto changu huku tumboni ,niwaombe mnapopitia mabandiko ya huyu bwana msiruke lile bandiko lake la ghostphase.Nililielewa sana coz nilishaishi hiyo phase.Kuna kitu mtaokota mule.
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Hili mboni lipo wazi?Na vipi kuhusu single mothers unawashauri nini
Hakuna umuhimu wa kujibu hili swali mdogo wangu.We jamaa umekuwa trigeerd nini?
Kwa sababu wewe ni Miongoni wa wasaidizi katika kupigania feminism sio?Hakuna umuhimu wa kujibu hili swali mdogo wangu.
Feminism sio toxic, acha kui-reduce to 0.Uli persieve vibaya....
It was not because of kupigana feminism but inequality hasa kwenye kufanyia mambo ya ajabu kama kubakwa, kupewa elimu, kupewa haki ya umiliki, sio kupigania usawa wa kuwa na dominance kama wanaume
I hope you're now wiser to know the difference.... Feminism ni toxicity amka my girl.
Don't take it serious ShangaziIla nyie watu mnakera.
Mkuu Active naomba uwadhibitishie hawa watu mimi sio Natafuta Ajira sbb hizi comments zinamdhalilisha mtu ninayemuheshimu.
Naamini hafurahii kuhisiwi hii Id ya kikeni yake.
Namna hii members tutaogopa kusifiana.
Alibadilika ghafla natafuta ajira wa 2024 kurudi nyuma na wa sasa tofauti kabisaZamani nlikuwa sina time na mada zake lakini baada ya kuja kusoma mojawapo nilikuja kumuelewa jamaa ni akili kubwa.
Sija I reduce... Nimeongea ukweli kuwa hiyo ni moja wapo ya gaslighting. Inawapa vichwa wanawake kuwa hawana usawa hadi kwenye vitu vya asili na kibaolojia... Na hata patriachy nayo ni zao la hizi hizi labels...Feminism sio toxic, acha kui-reduce to 0.
Kwa upande wangu patriachy ni illusion pia, ni ujinga wa mababu zetu kuhishi dominance inaextend kwenye kila kitu.Na hii ndio sababu ya kwanini siwezi kukubaliana totally na mtu anayeamini kwenye patriarchy sababu patriachy ni opposite ya feminism, msingi wa mada ya leo.