NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

Kikawaida wanaume wanaotetea wanawake public hata familia zao unakuta hazina Amani, hawawezi mambo madogo kama kuendesha familia, kudhibiti Wake zao, kutiisha watoto.
Umetoa wapi takwimu kwamba wanaume wanaotetea wanawake hawana amani kwenye familia zao?

Mnapenda sana kuandika assumption vijana.
 
,iwapo wanawake mtakua hata nusu ya vile Natafuta ajira anatamani tuwe amini nawaambia tutawaepusha wanaume zetu na vifo vya mapema.Huyu sio adui yetu,ni mwalimu wetu mzuri sana.
 
Kwa sababu umezoea kusoma hoja kwa kubweka ndio maana unahisi hivyo.
I can feel the tension kijana.
Nikishasemaga ukiachana na psychology na ideologies mtaelewa tulikuwa tu namaanisha nini
 
,iwapo wanawake mtakua hata nusu ya vile Natafuta ajira anatamani tuwe amini nawaambia tutawaepusha wanaume zetu na vifo vya mapema.Huyu sio adui yetu,ni mwalimu wetu mzuri sana.
Wewe ni jinsia gani Mkuu?
 
Nimekutoa ignore list nikijua una hoja kumbe bado una utoto wako tu, ngoja nikurudishe tu.
Sikujua kuhusu hilo
Anyways kuweka mtu ignore list ni a sign of weakness maana they bother deeper issues.

Kwanini uweke mtu tena stranger ignore list?
 
Ahsante sana. Naona brother Elevenn Kuna hoja ameshazitoa

Na Mimi nakazia tuu Ile argument yake kuhusu vitu vya asili Huwa havitoi mwanya wa mabadiliko au interference hii nadharia Inahitaji kutazamwa vizuri na kwa upande wangu Mimi naona sio sahihi.

Utashi wa mwanadamu umebadilisha na unajaribu kubadilisha vitu vingi ambavyo vinaonekana ni asili na ndio mana Mimi naona ni sahihi zaidi kuwarejea wanyama Kwenye hizi issue za Nature,, kwa sababu wanyama kwa Kukosa Utashi Wao wanaishi purely kwa kufuata natural patterns.

Kitu kengine mtu akiwa deep Kwenye feminism hataona Chochote kizuri kuhusu patriarchy,, ijapokuwa vipo vingi,, aisee vingi sana!!!!

Under Patriarchy wanaume walikuwa ni watu waku_Sacrifice mambo mengi kwa Ajiri ya Mwanamke... Jambo ambalo under Feminism hatuoni haja ya Sisi kutoa hizo Sacrifices.

Hadi Leo Akionekana hadharani Mwanaume anampiga Mwanamke, Lazima kutatokea wanaume wenzake watajaribu kumtetea Mwanamke hii ni Athari ya Patriarchy,, Under Patriarchy Mwanamke alichukuliwa kwa Namna ya kuhitaji kushikwa, kusimamiwa, kulindwa, na kusaidiwa huku yeye alitakiwa kulipa hayo kwa kutoa heshima na Utii.

Sote tumekulia under Patriarchy Lakini jamii ilitufundisha nafasii ya Mama Ambayo iliwakilishwa kama ni kubwa kuliko ya Baba... Na Wala hakukuwa na Upinzani kuhusu hili Hadi ikawa Laana ya Mama sio sawa na ya Baba(na kukawepo misemo na nahau zenye kulielezea hili),,

Kwanini hili lilikuwepo kama ni kweli patriarchy ilikuwa haimthamini Mwanamke kabisa????

Feminism Haiwezi kuelezea kwa Nini Mwanamke anatakiwa apewe upendeleo huu Ambao anaupata under Patriarchy.

Kitu Kengine ni kwamba tunakubali kuwa kulikuwa na mila na Tamaduni Katika baadhi ya Jamii under Patriarchy zilikuwa sio za kiungwana na Zilipaswa kukomeshwa under modern civilization lakini Katika hili lazima tujue kwamba hizo mila hazikuwa Katika Jamii zote na ndio mana under extended patriarchy in Africa Bado kulikuwa na matriarchy societies kadhaa.

Na pia Baadhi ya Tamaduni hizo wazee wetu walizifanya sio kwa Sababu Mwanamke alikuwa ni kiumbe Duni.HAPANA.
Bali kwa maarifa Yao waliona wanamsaidia au wanaisaidia jamii kwa Ujumla...

Mfano suala la Ukeketaji,, ukiuliza hekima Yao utagundua haikuwa kumdhalilisha Mwanamke Kuna jambo Wao waliliona,,

Muhimu Kwenye hili walitakiwa wapewe Elimu Juu ya Madhara yake ili waache...
hata ukiangalia suala la wife inheritance pia hivyo hivyo,, Wazee walikuwa na Hekima Zao,,

Na Mengine mengi ukifatilia wazee walikuwa na nia njema kabisa Japo haikuwa Sawa.

Ndio maana Mimi huwa nasema Feminists walishindwa kutumia Busara kuzisema tamaduni na mila Mbaya wakati wa Patriarchy Wao wakaona suluhisho ni kuuondoa mfumo mzima. Hapa walikosea na Ninyi mnaoendelea kuipiga vita patriarchy mnaendeleza Makosa....

Mwisho natoa Challenge kwako,,, Jee Unaikubali Ego ya Mwanaume ya kutawala kuwa ipo by Nature???(Hapa Kuna kitu Cha kujadili baada ya majibu yako)
 
Under Patriarchy wanaume walikuwa ni watu waku_Sacrifice mambo mengi kwa Ajiri ya Mwanamke... Jambo ambalo under Feminism hatuoni haja ya Sisi kutoa hizo Sacrifices
Sema nini umemsanua binti kiziwi and hii line inaukubwa sana endapo atarudia kusoma vizuri maandishi yako na yangu.
 
Mwisho natoa Challenge kwako,,, Jee Unaikubali Ego ya Mwanaume ya kutawala kuwa ipo by Nature???(Hapa Kuna kitu Cha kujadili baada ya majibu yako)
Tatizo feminism I naangalia ego ya mwanaume kama kandamizi... Japo nia yake ni kumtetea, kulinda na kumprovaidia mwanamke.

But them men Sacrifices only goes to waste nowadays
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…