NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

Kitu chochote ambacho kinakuwa swiped na human adaptation & maendeleo ya sayansi na technology, lazima tukihoji kama kweli kilikuwa cha asili, unajua kwanini hii argument iko hapa? kwasababu kuna vitu wanaume mkitaka kuvitetea huwa mnasingizia “asili”

Tuache masingizio ya asili ili tuende sawa, ama tuseme ni vitu gani ni vya asili na vitu gani tulivitengeneza.
Kitu kengine mtu akiwa deep Kwenye feminism hataona Chochote kizuri kuhusu patriarchy,, ijapokuwa vipo vingi,, aisee vingi sana!!!!
Comment ya kwanza mi nilisema napinga kwa 50% so huu ni uonevu wako 😅

Under Patriarchy wanaume walikuwa ni watu waku_Sacrifice mambo mengi kwa Ajiri ya Mwanamke... Jambo ambalo under Feminism hatuoni haja ya Sisi kutoa hizo Sacrifices.
Mfumo fulani unapokupa favor, lazima upime cost yake au leverage yake, Ni utapeli kudhani hii sacrifice ilikuwa granted bure bure.

Mfumo unaweza kumpa mtu protection huku ukimnyima power. Mfano, kama mwanaume anaamini mwanamke anahitaji kulindwa, lakini kwa sababu hiyo hiyo anaamua mwanamke hatakiwi kumiliki mali, kufanya maamuzi yake mwenyewe, kufanya kazi fulani, au kuamua kuhusu maisha yake, hiyo protection ina cost. Ukitaka kuamini hili kwa urahisi angazia mifumo ya siasa yenye chembechembe za udikteta, angalia tu sisiemu jibu lako liko humo.

Kwasababu upendeleo wowote tunaweza kuupata bila ukandamizaji, huoni ni jambo la ajabu kumkandamiza mtu halafu ukampa mwanya mdogo wa upendeleo, halafu ukajipiga kifua kuwa umefanya jambo la maana sana….

Paragraph ya mwisho, nakubali bila absolutism . Na hiyo theory inaeleza kwanini mwanaume aliwahi/alitangulia mbele akayatawala mazingira yake hapo kale kwasababu ya desire/ego ya yeye kutaka kutawala na si tu kumtawala mwanamke bali kuitawala jamii, na kufanya expansionism (conquering)

Hii kuwa asili haielezi moja kwa moja kuwa mwanaume ni kiongozi mzuri/kiongozi bora na mwanya ulipopatikana wanawake wakawa viongozi wameprove hili.

What’s your take, since umesema kuna cha kujadili.
 
Taarifa mbaya ni kuwa kati ya vitu vyote hili specifically sijalikubali hata kwa asilimia tano, limekaa kiunjanja ujanja na utapeli 😂
Kwanza unanijua huwa sinaga mbili mbili ndo maana umekimbilia kumjibu Me and me kwasababu unajua atakupa room ya kuongea uongo na au torelate. 😂 😂

Skia ewe mwanike, hapa utakimbilia maneno mpaka utachoka tuu, use your intuition wisely sawa... All the answers lies in there...

If you need any guidance to awakening your intuitive qualities am always available.
 
tumsikilize.
hivi The Icebreaker hatuwezi kuhitaji VAR hapa
Hivi aise mna moyo kweli na dhamira . Unawezaje kumpekuwa mtu kiasi hiki. This is mental issue. The same as ID Moja inaandika thread , Ina log out inafungua nyingine kujisifia ..mwanaume anakua pregnant baada ya muda mfupi...🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Dah. Nilikua sijaona hii comment yako. Imenitoa pangoni. Lazima niandike kitu. Patriarchy ni mfumo wa kikatili only ukiuangalia kiitikadi na kiuanaharakati. Ukiuangalia kwa kutumia ushahidi hai (empirical evidence) utaona jinsi ambavyo patriarchy siyo mfumo mbaya kama unavyoelezewa na baadhi ya wanaharakati wa itikadi ya kifeminia.

Niliona vijijini kanda ya kati: wanaume wanakata magogo/kuni kuwaletea wake zao kupikia. Wanalala mashambani kulinda mazao under very harsh conditions huku wanawake wakiwa majumbani kwenye makazi salama. Mwanaume anaenda shambani alfajiri, mwanamke ana mjoin mumuwe shambani saa tatu saa nne asubuhi baada ya kukamilisha shuhuli ndogo ndogo nyumbani. Kutoka shambani, mwanamke anawahi kurudi nyumbani kwa ajili ya kupika etc. Huku mwanaume akiendelea na shuhuli za shurba shambani.

Shuhuli ngumu zote za hatari zinazohitaji nguvu na kujitoa mhanga kimaisha zilikua zinafanywa na mwanaume. Kwa sehemu kubwa ulikua ni mfumo wa maisha very fair. Kitu pekee niliona sio fair kwa mwanamke ni physical violence akihisiwa kukosea na kubaniwa uhuru wa kuishi ndoto zake. Pia wanaume kuwa na wanawake wengi waziwazi. Kwa ujumla, patriarchy is not inherently bad.
 
Hii kuwa asili haielezi moja kwa moja kuwa mwanaume ni kiongozi mzuri/kiongozi bora na mwanya ulipopatikana wanawake wakawa viongozi wameprove hili.
Labda ni make things clear!!!

Kuna Misconception kubwa sana kati ya dominance hasa baina ya male and female. Na leadership

Leadership is a skill, it may come from natural attributes from both male or female,

Ila dominance is more of a natural thing.. When describing gender polarities we better use dominance japo sio neno sahihi exactly ila kidogo lina mwelekeo....
 
Ni kweli naamini patriarchy ni bora zaidi ya feminism. Kama patriarchy ilionekana ina shida kwenye baadhi ya mambo basi yalitakiwa kufanyia marekebisho lakini sio kuondoa kabisa. Vilevile ninatambua kwa sasa dunia imesha-adopt feminism na mimi pia hata kama ni muumini wa patriarchy natakiwa kuishi humo humo kwenye dunia ya feminism. Lakini pamoja na kwamba tumeamua kwenda kwenye feminism bado tatizo kubwa lipo upande wenu wanawake Patriarchy mnayoipinga bado mnataka benefits zake, na feminism mnayopigania, hamzitaki disadvantages zake. Mnaonekana kubadilika badilika kimsimamo kwa kuangalia masilahi yapo upande upi kwenye kila moment. Kwahiyo tunaona kikwazo ni mwanamke, sio mwanaume.
Sio kweli kabisa. Patriarchy iliibuka kwa kufuata natural pattern, sio ubabe. Ukirudi nyuma kabisa kwenye jamii za kali utafika kwenye point ambayo binadamu alikua mgeni kabisa duniani. Hakuna mfumo wa elimu, uongozi, dini, sayansi, harakati za usawa wa kijinsia n.k. Binadamu anakutana na kila kitu kwa mara ya kwanza kwaiyo anatakiwa kutafsiri mazingira na kupata majibu ya hizo changamoto. Hapa ndipo patriarchy ikaibuka kwa sababu mwanaume alifanya uvumbuzi, ali-step up kwenye kila changamoto n.k. Ndio maana akahodhi hiyo nafasi ya kuwa main character. Pale mwanzo kabisa mwanamke angeweza kum-shine zaidi ya mwanaume au angalao kwa kubaribiana na mwanaume basi patriarchy isingekuwepo from tne first place.
-Patriachy inaanguka/inameguka sababu sio ASILI, kama mnajua maana ya asili niambieni kitu gani cha asili huwa kinatoa mwanya wa mabadiliko.
Patriarchy inameguka kwa sababu ya kupigwa vita. Nguvu na resources nyingi sana zinatumika kuwapa favoritism wanawake huku tukisema huo ni usawa wa kijinsia. Mwanamke akiondolewa upendeleo wote akaachwa aende jino kwa jino na mwanaume kwenye fair playing ground jamii itarudi kwenye default setting ambayo ni patriachy
Traditional woman sio mtumwa kwa sababu kuna benefits alikua anazipata mfano provision, protection. Tukisema tumuondolee mwanamke hiyo status ya traditional woman automatically tutatakiwa kumuondolea na privileges zote anazopata huyo traditional woman, na kama kwa namna yoyote unaona traditional woman ni mtumwa kwenye patriarchy basi bila shaka na traditional man nae atakua mtumwa huku kwenye feminism. Bahati mbaya hiyo feminism mnayoipigania inaonkeana bado mnataka sacrifices za huyu traditional man. Ndio maana kule mwanzo nikakwambia anazuia totally establishment ya feminism ni myie wenyewe wanawake. Kwa sababu hamtaki kuchagua kimoja for once and for all. Mnataka benefits za kila mfumo lakini hamtaki roles zake.
Hata upande wa wanaume pia kwenye patriarchy sio wote wanathaminika kwa viwango vinavyolingana, ili uthaminiwe kuna sifa ambazo unatakiwa uwe nazo mfano provider, protector, visionary, leader, bold, inaccessible, admired n.k. Kazi kubwa unatakiwa kuifanya ili uwe na hizo sifa. Tatizo lenu wanawake mnataka kuthaminiwa just for your existence.
Sheria haikua invented kumlinda mwanamke dhidi ya mwanaume, lengo lilikua ni kumlinda mnyonge. Hayo uliyoyaongea hata wanaume kwa wanaume wanafanyiana. Hata wanawake kwa wanawake wanafanyiana.
Suala la wanawake kuenekana hawawezi kuchangamana wenyewe kwa wenyewe bila wivu, visirani na vimaneno maneno ilo lipo kiasiri zaidi. Naturally nyie wanawake ni chaotic creatures. Wengi wenu hamna emotional intelligence. Embu niambie kwenye shule za bweni za wanawake watupu hawagombani? hawana mabifu?. Ndoa za lesbians hakuna talaka?.

Hauwezi kukuta mume ana ugomvi na mashemeji au wakwe zake. Hauwezi kukuta mke ana ubmgomvi na mashemeji au baba mkwe. Mara zote chokochoko ni mke na mawifi au mke na mama mkwe. Unafikiri hiyo inatokea tu by coincidence?

Emotional intelligence ni changamoto yenu, hapa usirushe lawama kwa wanaume.
 
Sijui Kwanini umekazania kitu Chochote ambacho kinaweza kuwa manipulated na watu, inabidi kitiliwe Shaka ule uasili wake???

Ngoja nikuulize nitajie kitu ambacho kwako wewe ni purely natural na niambie kwa Namna Gani binadamu hawawezi Kuni_manipulate. MIMI NADHANI HIKO KITU HAKIPO!!!
Tuache masingizio ya asili ili tuende sawa, ama tuseme ni vitu gani ni vya asili na vitu gani tulivitengeneza.

Comment ya kwanza mi nilisema napinga kwa 50% so huu ni uonevu wako 😅
Kwanini iwe 50%?? Tuambie zaidi hapa.
Swali msingi hapa tutakuuliza under Feminism Jee Mwanamke anastahili kupata zile favor alizokuwa anapata wakati wa Patriarchy?? And if Yes Why?
So kama Ego ya mwanaume kutawala ni is according to nature.. so hatuwezi kumlaumu kwa yeye kuonesha desire yakutaka kutawala na kuwa Juu.

Swali lengine Jee Hii Ego (Ambayo ni Natural) inakubalika under Feminism doctrines???
Hii kuwa asili haielezi moja kwa moja kuwa mwanaume ni kiongozi mzuri/kiongozi bora na mwanya ulipopatikana wanawake wakawa viongozi wameprove hili.

What’s your take, since umesema kuna cha kujadili.
Suala la kuwa kiongozi mzuri au Mbaya it's a very complex topic... Kwa sababu Kuna maswali mengi yanaibuka,,,

jee wakati Gani mwanaume alikuwa mtawala Mbaya jee ni tangu aanze kutawala au Karne nyingi baadae??
Jee huo ubaya tunaupije?? ,,, jee huo utawala mbaya ulikuwa Kwenye jamii zote au baadhi??

Pili kuhusu wanawake kupewa nafasi za uongozi na ku_prove positive pia ni jambo complex Kidogo...

Kuna Namna Mimi natofautisha utawala wa Kijamii na kimazingira na ule utawala wa kitaasisi(wakiofisi ofisi)
Kwa sababu huko Kwenye maofisi tayari kuna mifumo imeshasukwa Karne na Karne pia mambo yanaendeshwa kwa taratibu maalumu kwa Misingi na Miongozo Ambayo tayari ipo structured,,, yaani nowadays watu wanakaa darasani wanasomea Namna ya kuongoza ,, Kwa Hali sishangaii kukuta wanawake Kwenye Taasisi Furani Wakawa wanafanya vizuri. (Ijapokuwa hata Katika Hali hii Kuna mapungufu mengi yanajulikana kwa hao maboss wanawake)
 
Hii ni zaidi ya 3 some..😂 Maana tuko wa3 vs 1
Unikome we mtoto! 😂💔

Anyways itabidi unifanyie mpango wa kupata kazi kwa kweli... Hii leisure ni mbaya hata kwa kweli😬
Jana ulipotea kwenye ule uzi wa Icebreaker ulienda wapi? ilikuwa mida ya kazi ulipotea kuanzia saa nne hadi usiku saa mbili, nilikuwa kila mara naangalia kama umejibu comment yangu fulani (usijesema nakufatilia sababu nakupenda 😜)
 
Unikome we mtoto! 😂💔
Am just being sincere shwarty.. 😬
Jana ulipotea kwenye ule uzi wa Icebreaker ulienda wapi? ilikuwa mida ya kazi ulipotea kuanzia saa nne hadi usiku saa mbili, nilikuwa kila mara naangalia kama umejibu comment yangu fulani (usijesema nakufatilia sababu nakupenda 😜)
We acha tu, wanasema wanaume Tumeumbiwa nini vilee?...

Lazima tufatiliane tu, si unajua the bond is beyond time and space?
 
We tena lazima utoke pangoni.

I don’t have much to oppose on this , hopefully unafahamu kwanini…..

Kanda ya kati hiyo hiyo nina maslahi nayo, ni kwetu: wanawake na watoto wao hushinda shambani kuanzia asubuhi hadi jioni, This is not an issue at all, lakini tukirudi traditionally; mwanamke wa hivi hahesabiwi au hakuruhusiwa kumiliki hata kama atazalisha. Sio kwamba nasema kwa sasa imebaki hivyo ila najenga hoja ya kwanini mfumo dume ulitoa mwanya wa upinzani kwasababu ya weakness zake.
 
Hauwezi kuamini nilikua nimepanga kuondoka kwenye jukwaa la mahusiano. Next destination ilikua jukwaa la biashara, uchumi na ujasiriamali. Huku niki-base zaidi hapo kwenye uchumi maana ndio proffesional niliyosomea. Thread yako imenifanya nisimame njia panda. Niondoke au nibaki.
 
Theoretically speaking nilikuwa najenga hoja ili muone kuwa hoja zenu za vitu mnavyoviita ni asili huwa si vya asili bali huwa ni namna yenu ya kutetea hoja yenu.

Yes vitu vya asili vipo ambavyo havibadiliki: Binadamu ili asavaivu anahitaji maji, oksijeni na chakula sifikirii kuna mbadala,

Uzazi unajitaji mbegu za like na kiume ili atengenezeke mtoto. Hata tech ikiwa integrated bado factor za muhimu zinabaki zilezile.

Uwepo wa “basic” biology drives, njaa, kiu, sex, ku-belong.

Kifo?

Again; nataka ugundue kuwa hii haikuwa hoja ya msingi bali yatokanayo.

Kwanini iwe 50%?? Tuambie zaidi hapa.
Kwasababu somehow nina acknowledge mitazamo baadhi ya patriachy, unlike you people ambao mnaiweka feminism kwenye dustbin moja kwa moja, either sababu hamuielewi au ego zenu haziruhusu challenge na hazitaki kuona kama patriachy ina mapungufu tena makubwa.

Swali msingi hapa tutakuuliza under Feminism Jee Mwanamke anastahili kupata zile favor alizokuwa anapata wakati wa Patriarchy?? And if Yes Why?
Ndio, Shida mnaona feminism inahusu relationship kati ya me na ke tu wakati kuna mambo kibao ndani yake, Why kwasababu sio kila mwanamke katika patriachy alipata hizo favor, kwahiyo ili mfumo uwe accomodative kila kitu kinatakiwa kiwekwe mezani na si kusubiri favor. Jamii ni kitu kikubwa kuna ambao wataambatana na patriarchy men watajitaji hizo favors.

Kama unaniona point yangu sawa, kama hauioni nitajaribu kufikiria upya.

So kama Ego ya mwanaume kutawala ni is according to nature.. so hatuwezi kumlaumu kwa yeye kuonesha desire yakutaka kutawala na kuwa Juu.
Kuna layer/ hatua kwenye hili. Utawala uliotokana na desire ya mwanaume kutawala (ambayo ni nature hatuilaumu) ikianza ku-dictate social arrangements ndio kasheshe inapoanza.

Labda we unielezee mifumo ya kijamii ilisimikwaje labda mimi napotoka.

Swali lengine Jee Hii Ego (Ambayo ni Natural) inakubalika under Feminism doctrines???
Sidhani kama imejadiliwa.

Baadae, kwasababu haiwezekani mtu aanza kuongoza leo ukahitimisha kuwa ni kiongozi mbaya.

Failures ni kipimo.

Nakubali.
 
I don’t have much to say on above paragraph.


Hapa nina tatizo napo, either unajaribu kutuokota au kuna vitu unachanganya. Kitakwimu emotional intelligence kwa wanawake iko juu kuliko kwa wanaume. Strategist7 tusaidie mtafiti.



Mimi naweza kuargue tofauti tukiacha suala la emotional intelligence. Nataka kuargue hivi, Wanawake hatuogopani, Hakuna kwensekwense za kuumiza za mwanamke kumkosea mwanamke mwenzie. nikimchokoza Prida, Women calculation iko hivi: Nikimkosea prida now kwani atanifanyaje? atanichamba? and then what? nothing…! Habari inaweza kuwa tofauti nikimkosea bwana Elevenn.

Wanaume low-key mnaogopana, uoga huo umezaa heshima, establishment ya heshima baina wanaume ni kwasababu ya kwensekwense zinazoweza mpata mwanaume akiharibu kwa mwanaume mwenzie.

So this has nothing to do with EI, And also has nothing to do with my premise that “adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie” is a notion that was developed for divide and rule mouth-tool. (These are merely my opinions)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…