NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

Hapa kuna vitu Mimi navitofautisha Biological laws/phenomena VS Natural laws/principles au terms sahihi zaidi zenye kujalibu kutofautisha hivyo viwili yaani Fikilia kuhusu Suala la Mtu Kupata Uzito kufanya tendo la Ndoa na Mzazi wake hii ni Natural Law linganisha na Suala la Mtu Kupata njaa au kuhisi Sexual desire Hii ni Biological Phenomenon

Sasa Mimi nakusudia Natural Laws/Rules Nyingi ukiziangalia zinakubali manipulation. Sasa haya mambo ya Patriarchy, Male dominance nk ni mambo yanaangukia Kwenye Natural Laws sio biological Phenomena.
Ni Habari Njema at least you can say good about patriarchy. Coz maandiko yako ya huko nyuma it seemed like kwako patriarchy ni Zaidi ya kitu hatari na kibaya kabisa kuwahi kutokea.

Kuhusu Feminism upande wangu,, Feminism ya Phase one na Angalau phase two mwanzoni ilikuwa ina make sense ila baada ya hapo feminism ikachukua sura mpya ya tofauti kabisa (Kuna mwandishi anasema Lau wale waanzilishi wa Harakati za kifemina watajua ni wapi imefika feminism kwa Sasa hata Wao Wenyewe watashangaa!!!)

Dunia Katika hii feminism Haiwezi Kuwa stable socially,, tutaendelea kushuhudia increment ya divorce,,, na vijana kuogopa kuingia Kwenye Ndoa.
Kwa sababu Mwanaume hataacha kuwa na Ego ya kutawala na kutaka Utii,, na huku feminism inampa kichwa Mwanamke kuwa yeye na mwanaume wote wapo sawa hivyo Kutakosekana familia au zitakuwepo familia zinazopumulia mipira,, watoto watakao zaliwa watakosa Malezi ya wazazi wawili tutatengeneza vijana na Mabinti wenye tabia za ajabu ajabu then cycle itaendelea.

Challenge: Nielezee ni kwa namna Gani jamii inaweza ku_achive stability from where we are with a lot of family dilemmas due to ongoing feminism movements Kwenye Upande Wa familia under Feminism.
binti kiziwi wewe ni mjanja mjanja sana,,, umei_dodge hiyo hoja vizuri.

Ila Mimi nakung'ang'ania hapa hapa ,,,kwanini Mwanamke aendelee kupata favor au tuseme privilege under Feminism inayohubili usawa na kuhubiri umadhubuti na uwezo wa Juu wa Mwanamke kiakili hata kimwili.!!!??
Kama unaniona point yangu sawa, kama hauioni nitajaribu kufikiria upya.
Fikilia upya
Kuna layer/ hatua kwenye hili. Utawala uliotokana na desire ya mwanaume kutawala (ambayo ni nature hatuilaumu) ikianza ku-dictate social arrangements ndio kasheshe inapoanza.

Labda we unielezee mifumo ya kijamii ilisimikwaje labda mimi napotoka.
Nature ndio ilisimika. Nature ndio iliamua unconsciously naweza sema.
Sidhani kama imejadiliwa.
Feminism lazima ituambie tutadeal vipi na natural Ego ya mwanaume Kwenye issue ya dominance. Kwa sababu literally Feminism ipo against na hiyo Ego(Mimi hata nimeshangaa vipi wewe umelikubali kirahisi hili)
Baadae, kwasababu haiwezekani mtu aanza kuongoza leo ukahitimisha kuwa ni kiongozi mbaya.

Failures ni kipimo.
Patriarchy haikufeli...
Patriarchy ilitoa ruhusa baadhi ya masuala yarekebishwe ndio zikaanza Harakati za feminism taratibu taratibu Hadi hapa tulipofikia ,,,Kwa sababu hakukuwa na Namna yoyote Feminism ingeweza kurise kama wazee wa Patriarchy wasingetoa nafasi...

Binafsi naamini kama wanaume wataamua kuirudisha fully Patriarchy ni suala la siku kadhaa tuu.
Nakubali.
 
Kama wewe mwanamke mwenzao umekubali basi hatukupingi.
 
Mkuu am all in kwenye business na uchumi..
Ukishusha madini usisahau kuni tag

Achana na hizi drama za watu usio walisha...

Si unaona mpaka wa kina Jadda walisha staafu?
 
Hata huko utatufaa mkuu.
Mambo ya ghostphase in deep.
MMU usitokomee kabisa.
 
Yes.
Nimejifunza mengi kupitia JF.
Kuna anonymous mmoja hapa JF anaitwa Malila
alifanya ninunue ardhi somewhere ambayo leo hii naitumia kufanya mishe fulani inayoniingizia tusent tunakonipa jeuri mjini.
hongera sana ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…