Natafuta Audio Clip ya zaidi ya Dk 5 ambayo Rais Samia anazungumza Kiingereza


..mwanasheria kutokujua Kiingereza sio sahihi.

..taaluma kama bwana kilimo sio lazima awe mahiri ktk kiingereza, lakini sio mwanasheria.
 
Hebu kosoa nilipokosea kiswahili.siyo ukiwa siku zako za mwezi unaleta tu kisirani kwa watu ... Onesha makosa dada.
Jifunze kwanza kuandika kiswahili kabla ya kuleta madai kwamba mtu unahesabiwa kuwa smart kwa kuongea kiingereza.
Ni sweeping statement ya kijinga sana.
 
Na kwann mzozane kisa Lugha??


Embu tutazame Akili ya mwendazake na huyu mnayemsifu .


Huyu ni KILAZA ,alisoma kwa kuunga unga, na SABABU ya kuunga unga, sio umasikin Bali AKILI HAMNA.
Anaweza kuja kufanikiwa kuliko marais wote wasomi unaowajua wewe tangu uhuru. Elimu ya darasani kitu kimoja, kujua kujichanganya na watu ni kitu kingine tofauti kabisa.
 
Ukiwa jukwaani unaangalia mpira ni rahisi sana kukosoa.Ingia ucheze huo mpira ,utapiga ugoko mpaka ukome.
Talk is cheap.
 
We mjinga, tega sikiontukuelimoshe. Huwezi kutenganisha uelewa wa mtu na kujua kiingereza kwa hapa Tanzania. Asiyejua kiingereza maana yake hajaelimika. Kwasabb elimu yetu inatolewa kwa lugha ya kiingereza. Sasa mtu ataipataje elimu kama lugha inayotumika kuipata hiyo huijui??

Nchi unazoona zomeendelea lkn watu wake hawajui kiingereza ni kwamba wanatumia lugha zao kufundishia. Hawatumii Kiingereza.

Umenielewa we mfuasi wa jiwe?? Halafu hata wewe hujui kiingereza ndiyo maana inakuuma sana tukiwakosoa wasiojuq kiingereza. Pole sana
 
Putin hajui kingereza hata kimoja lakini anaitikisa dunia
Lugha zinazotambulika kimataifa, eg hata kwenye shughuli za un: 1English, 2. French, 3. Spanish, 4. Russian, 5. Chinese & 6. Arabic
Sisi Tz, Eac na nchi nyingine zilizotawaliwa na mwigereza ni anglophone. Kiswahili my brother usilinganishe na kirusi. Na kiswahili chetu ndio kinatufanya tukose kujiamini ktk majukwaa ya kimataifa, mfano 1. Mahakama ya ictr ilipokuwa Arusha, wafanyakazi watanzania walikuwa mwachache sana, tena kada za chini zaidi, simply b'cause wengi waloomba kazi pale walifeli kwenye usaili. 2. Wakenya wanaofanyakazi ktk mashirika ya kimataifa ni wengi sana ( mchango wao pia kwa pato la taifa ni mkubwa), na ni sababu tu wanamudu lugha ya malkia.
 
Msenge Anaeamini JPM alikua na akili, na yeye hana akili
 
Jf wote wanajua kingereza kuanzia kuongea hadi kuandika

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…