Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)

Mpunguzie kazi kwa kununua Washing Machine yenye kufua na kukausha nguo.

YAANI BADO MPAKA SASA MNAFUA NGUO KWA MIKONO!
 
Kwanini hiyo kazi ya kutafuta housegirl usingemwachia mkeo
 
Kumbuka na yeye Ni MTU hivyo ukisema atafua nguo za watu wawili inamaana wewe na huyo housegel.
Utavumilia kulala nyumba moja bila shetani kukupitia.?
 
Kumbuka na yeye Ni MTU hivyo ukisema atafua nguo za watu wawili inamaana wewe na huyo housegel.
Utavumilia kulala nyumba moja bila shetani kukupitia.?
Sikumuhesabia yeye inamaana ningefanya hivyo angedhani watu watatu pamoja na yeye watakuwa wanne
 
umpatie check namba na salary scale ni tgs ya ngapi
 
🤣🤣🤣🤣🤣Me nikajua unaongea umuoee kumbe na wew unataka kumlaa tu umuache??? Mbona unaweza kumlaa akiwa huko alikoenda acha uzuzuuu
 
Huyo mwanamke alikuwa na wivu wa kijinga kakukosesha mke kabisa yani.
 
Sawa mkuu, ila ukisema mtoto, wengi watarejea umri uliopo chini ya sheria
Hapana mdogo kwa mana kwamba hakuna kazi nyingi wala ngumu za kuhitaji mtu mzima na hata kama ni mdogo hakuna changamoto zozote zitakazomkumba atakuwa sehemu salama sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…