mkuu kama ulikuwepo,sababu kitu ameenda kusema kwa mama wa yule binti ni kuwa ntakuwa namtaka yule binti nimchezee,kaenda kupanda hiyo mbegu kichwani mwa mama wa yule binti. Sasa wasiwasi wangu mkubwa,huyo mfanyakazi mwenzangu "kaoa" mwanaume jobless,alafu ni mwanamke havutii kimuonekano na muda mwingi anashida kazini,Nyumbani atakuwa anamuacha huyo binti wa kazi na mumewe,naona kabisa jamaa anaenda kumla yule mtoto. Sasa ni heri angeliwa na mimi hata nikimpa mimba nalea bila shida kuliko bomu waliloenda kulipanga huko. Ni suala la muda tu....