Natafuta boyfriend atakayekuwa mume wangu baadae!

vizuri sana ila nakushauri tafuta mume hawa wachumba wakujaribisha hawana maana watakuchezea halafu huwaoni jaribu kujiandaa kama mke zaidi kuliko kujinadi kama girl friend wangu
 
ahaaa ngoja kwaresma iishe tufunge zetu ndoa bwana.kipindi hiki hawaruhusu mashangilio yoyote! tuachane na ukapera bwana na mizengwe ya love connect
Aaaah, bana we...mbwe mbwe nyiingi, masharti kibao, ukitia timu hawajibu!
 
ahaaa ngoja kwaresma iishe tufunge zetu ndoa bwana.kipindi hiki hawaruhusu mashangilio yoyote! tuachane na ukapera bwana na mizengwe ya love connect

Na wewe ushaanza masharti...sasa hivi utaniambia hutaki wasiofunga!
 
Mi nataka demu mpenda pesa,asinipende mimi apende verosa,demu mpenda vidogo hanifai,coz haletichangamoto maishani,napenda demu nikirudi home mikono mitupu akunje uso,sio hata nikichacha yeye anafuraha tuu!Kwahiyo kama wewe sio demu wa tamaa mimi hunifai!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sasa hapo Dada huoni kama ulishaolewa tayari?!, miaka miaka mitatu unamtumikia mkaka na kisha anakubwaga baada ya kuona huna sifa stahiki, ndio ukajiregister jf kwa kujua kuna wakware huku sio?!
 
Usijali mrembo mimi nina sifa zote unazohitaji! na ole wako utupilie mbali maombi yangu. apearance ni mrefu maji ya kunde then kwa sasa nina kifua kipana kwa kuwa ni mhudhuriaji mzuri wa Gym. mrefu degree holder. umenivutia ulivosema kuwa una wowowooo!manake ndo ugonjwa wangu. nakuhusu kukutendea haki pale kati usikonde utafurahi na roho yako. napia ni nkristo. huyo mfuga ndevu aliyekutenda achana naye hajui kupenda.
 
ni pm kwenye 0755369241, nikuagizie wapi unaweza kuniona coz sifa nnazotaka unazo
 
ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini.
Kwa lipi? I mean, don't get me wrong, hakuna dini nzuri zaidi ya Ukristo, lakini una nini cha zaidi sana wewe mpaka utake mwenzako ndio abadili dini yake?

I mean, umetoka kupigwa chini, umejaribu mwenyewe mwenyewe kuji expose naturally imeshindikana, husimamishwi njiani wala kanisani, hulipi, halafu unatuwekea masharti magumu magumu ya kijamii hapa kwamba tubadili dini zetu tukufate wewe, kwa kipi haswa, hayo makalio?
 

Hebu tueleze sura yako ilivyo, angalau kwa kujifananisha hata kwa mbali na mdada mmoja maarufu ili tupate rough idea unafananaje. Si unajua ni rahisi kumtambua mtu kwa sura kuliko makalio?

Ni PM picha yako basi mamaa, nimefurahishwa na mchanganjiko wako.
Msambaa ni mchapakazi
Mdigo ni fundi wa yale mambo ya 6'x6'.
 
hizo sifa unazozitaka mbona naona kama unanilenga mimi.Funga huu uzi.mi ushanipata
 
basi niweke pending, ikitolewa ntakuja!!!!!!!!!

I like this....hahahahah! Evelyn mi nataka kukuoa na bikra yako..na sitaitoa kamwe!!!

nimefurahishwa na mchanganjiko wako.
Msambaa ni mchapakazi
Mdigo ni fundi wa yale mambo ya 6'x6'.

Hivyoeeee....:A S 39:

Kumbe baba aliponikataza hawa watu alijua watanchanganya!!! lazima nkafanye research...masters pap!
 
Last edited by a moderator:
Bwana asifiwe sana.
Wote semeni 'Eimeeen'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…