Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahaaa alikutosa yule?
Aaaah, bana we...mbwe mbwe nyiingi, masharti kibao, ukitia timu hawajibu!
ahaaa ngoja kwaresma iishe tufunge zetu ndoa bwana.kipindi hiki hawaruhusu mashangilio yoyote! tuachane na ukapera bwana na mizengwe ya love connect
kwani hujafunga tena?Na wewe ushaanza masharti...sasa hivi utaniambia hutaki wasiofunga!
kwani hujafunga tena?
Sasa hapo Dada huoni kama ulishaolewa tayari?!, miaka miaka mitatu unamtumikia mkaka na kisha anakubwaga baada ya kuona huna sifa stahiki, ndio ukajiregister jf kwa kujua kuna wakware huku sio?!Habari,
Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics) mwaka jana, UDSM. Nimewahi kuwa na uhusiano na mkaka fulani kuanzia mwaka wa kwanza hadi mwaka jana tulipomaliza chuo tukaja kuachana kwani niligundua ana wasichana wengine na mwishowe alinitamkia kuwa anayetaka kumuoa ni yy, na wala sio mimi.
Kimaumbile, ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde (nadhani naeleweka). Si mnene sana lakini nina makalio makubwa ya wastani. Kwa sasa nimeajiriwa hapa Dar es Salaam katika NGO fulani maeneo ya Mikocheni na makazi ni maeneo ya kurasini.
Ningependa mwanaume wa aina yeyote kimaumbile lakini awe ni mwajiriwa/au aliyejiajiri....kabila ni yeyote ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini. Sifa ya ziada, ni mwenye uwezo wa kuutendea haki mwili wangu katika mambo fulani.
Mahusiano yetu ya boyfriend na girlfriend yanaweza chukua miezi 10 hadi mwaka kabla hatujawa wachumba rasmi kwani naamini tutakuwa tumeshafahamiana.
Whoever's ready we can start having PMs exchanging
Kwa lipi? I mean, don't get me wrong, hakuna dini nzuri zaidi ya Ukristo, lakini una nini cha zaidi sana wewe mpaka utake mwenzako ndio abadili dini yake?ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini.
Habari,
Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics) mwaka jana, UDSM. Nimewahi kuwa na uhusiano na mkaka fulani kuanzia mwaka wa kwanza hadi mwaka jana tulipomaliza chuo tukaja kuachana kwani niligundua ana wasichana wengine na mwishowe alinitamkia kuwa anayetaka kumuoa ni yy, na wala sio mimi.
Kimaumbile, ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde (nadhani naeleweka). Si mnene sana lakini nina makalio makubwa ya wastani. Kwa sasa nimeajiriwa hapa Dar es Salaam katika NGO fulani maeneo ya Mikocheni na makazi ni maeneo ya kurasini.
Ningependa mwanaume wa aina yeyote kimaumbile lakini awe ni mwajiriwa/au aliyejiajiri....kabila ni yeyote ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini. Sifa ya ziada, ni mwenye uwezo wa kuutendea haki mwili wangu katika mambo fulani.
Mahusiano yetu ya boyfriend na girlfriend yanaweza chukua miezi 10 hadi mwaka kabla hatujawa wachumba rasmi kwani naamini tutakuwa tumeshafahamiana.
Whoever's ready we can start having PMs exchanging
basi niweke pending, ikitolewa ntakuja!!!!!!!!!
nimefurahishwa na mchanganjiko wako.
Msambaa ni mchapakazi
Mdigo ni fundi wa yale mambo ya 6'x6'.
Bwana asifiwe sana.Binti yangu kama uko serious kama ulivyo sema basi kwanza agana na Mungu baba, kwa njia ya maombi kama ulivyo sema kuwa unahitaji Mkristo, basi pitia njia ya maombi!!! Kwa sifa zingine kweli wewe ni sawa, mama Ndigo Baba Msambaa kama kweli una sifa za undani basi hakuna shaka ni vyema!!! Tulia kwenye maombi shirikisha Mchungaji wako usiwe na haraka, usijitoe bure ili kufurahisha watu, utafanaikiwa ila chunga usijiharibu, maana shetani anajua lengo lako atakuletea majaribio, kushinda lazima umshirikishe Bwn Yesu!! Ubarikiwe!!!