Natafuta boyfriend umri kuanzia miaka 25 hadi 30

Nilikuwa wapi siku zote ndo nakuja kuuona huu uzi Leo dooh najua ushawahiwa ,,so kila La heri best🥹
 
kyagata na Isenye wamekizi vigezo vyote hapo juu isipokuwa hicho cha "Awe mkazi wa Dar". Je uko tayari kuwakubari hawa vijana waliopunguliwa hicho kigezo au ni mahususi ili kuwabagua njemba za mikoani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…