Two years experience in which field or both of them you did at same time?
 
Yani wakati mwingine kusoma mimzigo kwahiyo unafikiri wote wanaotoa ajira wanajua ngere siku hizi maarifa zaidi ndowatu wanataka kalaga baho
 
Hivi mnajua maana ya kazi yeyote?

Manake kazi yeyote zipo nyingi
Na huitaji kuajiriwa..

Huoni wenzio wanao osha wamama miguu??
Hizo ndo moja ya kazi yoyote..

Ukiwa serious utaifanya bila kusubiri kuajiriwa
 
Hivi mnajua maana ya kazi yeyote?

Manake kazi yeyote zipo nyingi
Na huitaji kuajiriwa..

Huoni wenzio wanao osha wamama miguu??
Hizo ndo moja ya kazi yoyote..

Ukiwa serious utaifanya bila kusubiri kuajiriwa
 
Njoo uongeze fani na wakati huohuo ufundishe wengine uyajuayo.

 
Majina naitwa Richard makoi
Umri 25
Mkazi dar es salaam
Elimu diploma of finance
Nakuja kwenu kutafuta msaada wa kupata kazi ajira kibarua
Na uzoefu wa miaka mitatu katika katika field zifuatazo
Cashier
Project supervisor
Municipal revenue collector
Foreman civil works
Niko dar es salaam
Contact 0657710078
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…