AFRICAN BOYI
Senior Member
- Dec 9, 2019
- 119
- 338
Jux awe mwalimu acha kazingua basi😂😂🤫Hata ualimu umekosa?
Una maanisha nini chief?Omba kwa jux .....huoni unafanya marketing bussnes
Bila kujijua ...
Mkuu Kuna lile duka lako la kariakoo vip kijana hawezi kupata nafasi paleUsijifungie magetoni jichanganye mazee
Jina la ID yake.......na profile yake ni nembo wa mtu iliosajiriwa kihalali katika biasharaUna maanisha nini chief?
Aisee...sikulifikiria hilo bwana 😂Jina la ID yake.......na profile yake ni nembo wa mtu iliosajiriwa kihalali katika biashara
🤣🤣ndio akaombe kazi hata ya kuuza tuAisee...sikulifikiria hilo bwana 😂
Anafanya marketing ya nini jamaa!?🤣🤣ndio akaombe kazi hata ya kuuza tu
Marketing aliyofanya si ya kitoto
Si kapromote bila yeye kujijuaAnafanya marketing ya nini jamaa!?
Mimi Sina duka! Ila January na February kidogo mazingira ya utokaji/mauzo sio mazuri saba ni ngumu kumuunganisha mtu sehemu!Mkuu Kuna lile duka lako la kariakoo vip kijana hawezi kupata nafasi pale
Huyo anauza bangi redstone pale MoshiMkuu Kuna lile duka lako la kariakoo vip kijana hawezi kupata nafasi pale
😂😁Huyo anauza bangi redstone pale Moshi