Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

Habari zenu wakuu

Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu.

Mwenye connection za saidi fundi itapendeza pia, maana za huku mtaani nimepiga ila changamoto unapiga leo kisha unakaa sana mpaka uje upate tena kazi. Sio mzuri kwenye kuandika ila angalau lengo langu limeeleweka, wakuu msaada wenu tafadhali.
Umejaribu kazi za halali na hujatoboa mpaka now jaribu dili chafu ukishindwa kutoboa tafuta mti ujitundike
 
Utapata tu mahali najua hilo huwezi kosa humu ila kuna watu wanaojiona wanaweza kusaidia ila miyeyusho tu . Wala sio wa kweli mzee wakujisifu upo?? Unaongea kama unatetema Ushimen msaidie kijana
Nakuja baby...😘
 

Attachments

  • {19F796FD-E3FA-4A8D-BD5B-744141520EB1}.png.jpg
    {19F796FD-E3FA-4A8D-BD5B-744141520EB1}.png.jpg
    38.5 KB · Views: 9
Back
Top Bottom