Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe anaduka na hajaniambia??Mkuu Kuna lile duka lako la kariakoo vip kijana hawezi kupata nafasi pale
Uza simu upate mtaji wa kuuza matunda , kwa siku hukosi elfu 20 kama faida.Habari zenu wakuu
Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu.
Mwenye connection za saidi fundi itapendeza pia, maana za huku mtaani nimepiga ila changamoto unapiga leo kisha unakaa sana mpaka uje upate tena kazi. Sio mzuri kwenye kuandika ila angalau lengo langu limeeleweka, wakuu msaada wenu tafadhali.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hata ualimu umekosa?
SafiKijana unaweza kuingia shimoni aka kwenye andaki la madini na tochi kama upo mererani ningekupa Dili maana nina maapolo wachache sana kama upo mererani nakusogezea kazi hiyo.
Uza hata bangi.Habari zenu wakuu
Wakuu naombemi kazi yoyote ya halali huku mtaani sio poa. Huku kitaa nimepambana sana huku na kule lakn bado kugumu ila hatukati tamaa. Naombeni kwa yeyote mwenye kazi aniunganishe tafadhali, ata za viwandani sawa tu muhimu kupata chochote kitu.
Mwenye connection za saidi fundi itapendeza pia, maana za huku mtaani nimepiga ila changamoto unapiga leo kisha unakaa sana mpaka uje upate tena kazi. Sio mzuri kwenye kuandika ila angalau lengo langu limeeleweka, wakuu msaada wenu tafadhali.
Sio fresh bora kitu halaliUza hata bangi.
Mtaji elfu 5 hapo unapata puli Moja na rizla za kutosha.
Ni tajiri huyo wa kariakooKumbe anaduka na hajaniambia??
😂😁Mpaji Mungu kumbe ndii unanificha unaduka na xmass hujanifanyia shopping??
Sio kwel dadangu mi unga unga mwana tu! Kila pakikucha nafuu ya Jana.....ila rafiki yangu Charles kilian muulize ana nini mereraniMpaji Mungu kumbe ndii unanificha unaduka na xmass hujanifanyia shopping??
Kaka ngoja nipitie vyeti vya wakili wangu ktk hili kisutu panakuhusu
😂😂😂Mkuu una hasira sana njoo nikupe mtaji ukauze mitumba memorial Kila j4 uwe unafungua mzigo mpyaHuyo anauza bangi redstone pale Moshi
Wap mkuu majobless tusogeeKuna kazi ya sales kuleta wateja katika mfumko wa bima x, kila mteja ukimuunga unakula 10k na unapewa pia nauli. Kama uko tayari nikuunganishe na muhusika.
Shida connectionNjoo fodoma mkuu ujenzi umeshika hatamu huku
Unanini mererani??