Natafuta kazi yoyote halali, huku mtaani sio poa

Mkuu ungewek ata adress yako , cc wamkoan tucje kukuita kweny saidia fundi wakat upo mbali
 
Uza simu upate mtaji wa kuuza matunda , kwa siku hukosi elfu 20 kama faida.
Mkuu simu nayo tumia sidhani kama wewe unaweza itumia, sina simu kubwa. Ata hii ninayo tumia sasa nimeazima tu hapa kwa jamaa. Nimefanya kununua vocha ya 500, ndio maana toka nimeweka bandiko langu jana nimekuja kuwajibu leo.
 
Kuna Mtu kaniomba nimtafutie kijana mdogo mdogo ,mnyenyekevu,muaminifu asiye na mambo mengi aje kumsaidia Kazi za nyumbani km kupika kulima na kunyeshea bustani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…