Natafuta kwa udi na uvumba dawa ya kuondoa vyakula tumboni ili kitambi kiishe haraka

Habari bila picha tunashindwa kukupa dozi sahihi kulingana na tatizo sasa. Weka picha
 
Matunda ya mlonge ni hatari utatoa uchafu mpaka ujishangae!!! Zimenye tafuna kama nane hivi,
Au tafuta karanga pori unaweza ukatoa utumbo au tumia mafuta ya mnyonyo utahara ushangae
Nimechanganyikiwa kichizi, Bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney.

Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni. Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati
longe
 
Ingia katika maduka ya waarabu au wahindi watakupa dawa za kutoa mafuta na kuhara ila jiandae siku iyo ushinde home
 
Nimechanganyikiwa kichizi, Bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney.

Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni. Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]pole sana
 
Fanya "kudeti" na mimi kwa miezi miwili tu. Matukio nitakayokupiga, kama kitambi kikibaki basi ujue umelogwa!
 
Nimechanganyikiwa kichizi, Bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney.

Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni. Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati
baba piga jembe - kitambi hakiondoki wa gym ama kukimbia... wiki tu upo kama ruler.
 
Mshana Jr --hii kitu inawezekana?
1653557897684.png
 
Binadamu sijui nana katuloga kwel dawa ya kuondoa tumbo kubwa?. Kilichokufanya uwe na tumbo kubwa kinyume chake ndo kitaondoa hilo tumbo kubwa
 
Nimechanganyikiwa kichizi, Bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney.

Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni. Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati
Tuwasiliane kukipambazuka
 
Back
Top Bottom