Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Natafuta mchumba ambaye atakuwa Mume Bora

Asante
Ana kipaji cha uchekeshaji. Tena pure kabisa.
emoji3.png


Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile appasa

Ana kipaji cha uchekeshaji. Tena pure kabisa.
emoji3.png


Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
kumbe ..asante teacher sk😂
Rola Alexander hata hanioni mkuu ngoja nikalime tu🤣🤣🤣
nakuona bwana 😂
 
Honest nna tatizo la kuchanganya R na l ... kikubwa si umeelewa ... ila iyo Christo yako umeongopa angalia ya kwangu ipo sawa kabisaaa
Kwa kuandika tu upo vizuri hakuna hata moja umekosea. Hongera na hii ni moja ya vitu vinaonesha utimamu (smartness) ya mtu kiakili na kimwili.

La pili nasikia vijana wanahamasishana kukataa ndoa, ila wachache wanapinga hamasa hiyo. Naamini utampata.

Kwa unadishi wako, upo vizuri. Mengine sijui atayajua mtayeoana nae
 
Waoaji tupo tatizo ni wale kataa ndoa ndio wanatushawishi tusioe.
 
Amesema shughuli yoyote,ina maana wewe hufanyi shughuli yoyote yaani siku nzima unakula na kulala bila kwenda popote kusaka noti?Shughuli yeyote maana yake hata ukiwa dalali hiyo pia ni shughuli,labda kama ameficha kitu ambacho hajakiweka bayana
Shughuli yoyote nilivyoelewa uwe umeajiriwa, unatoka na tai na suti
 
Back
Top Bottom