Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Njiro kuna Makonda hebu mchekiAh shoga angu ukimpata nipasie mmoja
Me nataka anaekaa Njiro tu
🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njiro kuna Makonda hebu mchekiAh shoga angu ukimpata nipasie mmoja
Me nataka anaekaa Njiro tu
🤣🤣
Ana kipaji cha uchekeshaji. Tena pure kabisa. [emoji3]aki tena me mwenyewe naangalia apa ata sioni jamaa alijskia tu kucoment vibaya kwenye post yangu
Sitaki celebNjiro kuna Makonda hebu mcheki
Dah🤣🤣 this is too much..hell?🤣🤣🙌Kila la hell
🤣🤣🤣🙌🙌Hizi ndio red flags zenyewee🚩🚩🚩🚩🚩
Mabaharia nendeni PM ila kichwani patupu hapa
🤣 Kila la heri manUsijali nitakufundisha taratibu.
Wakuu maombi yenu naona huu ni wakati wangu kuwa na mke bora
Satoh Hirosh
Extrovert
Rola Alexander hata hanioni mkuu ngoja nikalime tu🤣🤣🤣🤣 Kila la heri man
Ana kipaji cha uchekeshaji. Tena pure kabisa.![]()
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile appasa
kumbe ..asante teacher sk😂
nakuona bwana 😂Rola Alexander hata hanioni mkuu ngoja nikalime tu🤣🤣🤣
Nimesubiria pm sikuoni na uko hapahapa Arusha asee😆😆Asante
kumbe ..asante teacher sk😂
nakuona bwana 😂
Amesema shughuli yoyote,ina maana wewe hufanyi shughuli yoyote yaani siku nzima unakula na kulala bila kwenda popote kusaka noti?Shughuli yeyote maana yake hata ukiwa dalali hiyo pia ni shughuli,labda kama ameficha kitu ambacho hajakiweka bayanaHapa pameshaninyima wake wengi sana.
Kaka,Usijali nitakufundisha taratibu.
Wakuu maombi yenu naona huu ni wakati wangu kuwa na mke bora
Satoh Hirosh
Extrovert
Kwa kuandika tu upo vizuri hakuna hata moja umekosea. Hongera na hii ni moja ya vitu vinaonesha utimamu (smartness) ya mtu kiakili na kimwili.Honest nna tatizo la kuchanganya R na l ... kikubwa si umeelewa ... ila iyo Christo yako umeongopa angalia ya kwangu ipo sawa kabisaaa
Unataka wa ushuani sio😂Ah shoga angu ukimpata nipasie mmoja
Me nataka anaekaa Njiro tu
🤣🤣
Shughuli yoyote nilivyoelewa uwe umeajiriwa, unatoka na tai na sutiAmesema shughuli yoyote,ina maana wewe hufanyi shughuli yoyote yaani siku nzima unakula na kulala bila kwenda popote kusaka noti?Shughuli yeyote maana yake hata ukiwa dalali hiyo pia ni shughuli,labda kama ameficha kitu ambacho hajakiweka bayana
Kwa sababu umeona vitu viwili vinavyonihusu 😂😂😂Unataka wa ushuani sio😂
Af kwanini nilivyoona huu uzi, picha yako ikanijia
Usiwaamini hawa hata bodaboda anabeba🤣🤣🤣Shughuli yoyote nilivyoelewa uwe umeajiriwa, unatoka na tai na suti