Natafuta mchumba awe mke. Masharti awe na asset net worth 150m

Hebu nipe huyo binti.
 
@binti kiziwi hivi umeolewa??

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Nakazia.
 
Mtu amejiunga JF since 2011 unakuwa na doubt ya networth hyo[emoji44] ukiwa na lodge mbili tuu tayar ushaifikia
Kigezo cha kujiunga Jf Ndo kipimo cha utajiri? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Marioo..!!
 
Kigezo cha kujiunga Jf Ndo kipimo cha utajiri? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sidhani kama net worth ya 300m ni level za kuitwa tajiri. Hiyo hela ni ndogo sana ambayo tajiri analipia watoto wake watatu ada zao tu za vyuo majuu ama IST kwa mwaka mmoja tu.

Mtu mwenye hiyo 300m net worth ni mtu wa kipato cha kati ila sio tajiri
 
Una madharau
 
Wewe unaingiza ngapi ukiwa umelala ?
 
Na aiweke akilin kweli, wapo wenye viimtaji 10m Tu na wanasumbua mjin ndiyo awe m150 aolewe kweli,
Aache kwenda kufanyiwa masag na midume miwili.
 
Kwa ufupi wewe hutaki mke.
 
Sidhani kama net worth ya 300m ni level za kuitwa tajiri. Hiyo hela ni ndogo sana ambayo tajiri analipia watoto wake watatu ada zao tu za vyuo majuu ama IST kwa mwaka mmoja tu.

Mtu mwenye hiyo 300m net worth ni mtu wa kipato cha kati ila sio tajiri
Tena hiyo 300m unaweza kuta una kamjengo na kagari kako na vibiashara vyako vidogovidogo tu,lakini watu wanakuogopa humu!![emoji1][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Sio mbaya wengine tushaoa na kipato cha mwenza huwa chake wala usihitaji kujua kinatumikaje wewe ukiwa na changamoto fanya kumuazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…