Natafuta mchumba awe mke. Masharti awe na asset net worth 150m

Mkuu, nakubaliana na wewe 100% wakati wenu msikubali kupe au chawa. Ukiwa na mwanamke mtegemezi ata drain resources zako na kuku pull kwenye umasikini. SIMAMIA HII IDEA YAKO NZURI NA BORA

Kwa kukomaza idea yako soma uzi huu hapa chini:

 
Sasa huyo binti yako anataka mume au mke,yaani mume akae ndani,aandae maji na chakula ndiyo unasema umeoa?

Haha [emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
Sio binti yangu couse sijampita kivile ni mdogo wangu siwezi kumzaa ila yes anataka akukute hufanyi kitu aisee .
1. Asubuhi unamwamsha mke wako nakuwaambia wafanyakazi wamuandalie breakfast.
2. Anakupa kadi ambayo unaweza kufanya shoppinga nakwenda saloon kujiweka sawa anakupa kadi ya kwenda mazoezi kuweka mwili sawa.
3. Kila baada ya miezi sita mnapima afya.
4. Mchana utakula mwenyewe ila ijioni kabla hawajapika chakula chake unamwambia anataka kula nini .
Unawaambia wapike akija unamkaribisha home anaoga basi mnakula cha ijioni halafu unatoa fulsa ya kumridhisha mnalala.
Hapendi kelele chumbani hata ya simu .
So pawe kimya .
Ukimiss kelele nenda chumba ch atv ni bullet proof basi .
Ila baada ya kumridhisha .
So ndio hivyoo hutaki tambaa .
 
Hela zote hizo na bado unakosa mwanamke unaemtaka mkuu?
Kuna tatizo mahali
 
😂😂😂Hapo anaolewa sio kuoa
 
well, i am here. inatakiwa kwanza kumpima akili huyu anayesema hivyo, kupima afya yake. kupima afya na akili za ukoo wake wote then awe kwenye uchunguzi kwa muda usipopungua mwaka mmoja awe mzuri wa sura,umbo,rangi,tabia,mwendo ,sauti,akili n.k then atume maombi kuwa anahitaji kuwa na uhusiano nami.
 
Sasa umeandika nn
 

Yah,
Kuna mahali ukisema una utajiri wa 2 bilioni us dolars watu wanasema ni utajiri wa kawaida sana.
 
Mkuu umeanzisha vita ya 4 sasa ya kidunia ngoja waje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wengi naona mnamponda jamaa ila mi naona yupo sahihi maana kila mtu ana maamuzi yake binafsi .

Yeye anataka wa hivyo na si kwamba hawapo wapo wengi tu mwisho wa siku atapata wa kuendana naye .

Nimependa msimamo wake aisee japo kuna wadau mnakuja na stori za kusadikika
 
Mtu amejiunga JF since 2011 unakuwa na doubt ya networth hyo[emoji44] ukiwa na lodge mbili tuu tayar ushaifikia
Wengi hawajui maana ya networth wanadhani ni zile pesa zilizopo benki [emoji23][emoji23] .
 
We jamaa una akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…