Natafuta mchumba wa kiume, awe anaishi London

Sijakataa lakini sio kutukana na kuhukumu mtu, uliza ujibiwe sio sawa kabisa.
 
Utapata dada. Wapo wa dini yako. Wapo warefu kuliko wewe. Wapo wa London wapo wenye kazi na wapo 41+.
Ila ungeqeka ka picha waone ka sura figure na mengineo ingenoga na ungepata fasta
 
Nipo London nabeba box na hili Dodo chini ya mnazi linaweza kua langu kimasihara tu,
Ngoja nivute pumzi kwanza nitarudi.
Yeye kasema anaefanya kazi…so hata kubeba mabox ni kazi TI…fanya fanya mambo ndugu yangu tule ubwabwa aise..

Hivi ni kweli huku ndani mtu unaweza kupata mume au mke wa kuoa?

Kama ni kweli ngoja nikamilishe mipango yangu nije na bango humu ndani la kutafuta mume haki tena
 
Mnaotafuta mke, mama wa watu kashajieleza sana na kawa muwazi kwamba kajiunga JF kwa dhumuni moja la kusaka mume...

Hebu fanyeni mambo
Labda nimtoe outing tu kama kula na kumzungusha kwenye jiji langu hili
 
ebhana masela jiangalieni, ohoo!!

siyo kwasababu umesikia London unakurupuka tu, tamaa siyo nzuri.
 
Hivi yule mama aliyekuwa anaishi sweeden kama sikosei ambaye alikuwa analalamika amechoka kulala peke yake nyege zinamsumbua alipataga mume?
 
Bahati si yangu maana hivyo vigezo nimefeli vingi na kupasi kimoja tu. Lakini unaonekana ni Mwanamke muelewa, mnyenyekevu na mwenye busara. Ningepasi vigevyo vyako, harusi ingefanyika kabla ya x mass.
 
Bahati si yangu maana hivyo vigezo nimefeli vingi na kupasi kimoja tu. Lakini unaonekana ni Mwanamke muelewa, mnyenyekevu na mwenye busara. Ningepasi vigevyo vyako, harusi ingefanyika kabla ya x mass.
πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…