Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
- Thread starter
- #161
Inshaaalah ahsante saanaUna busara sana. Wewe unamjibu kila mtu hata wanao kudhihaki. Mungu alitazame hitaji lako na kukupa haja zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inshaaalah ahsante saanaUna busara sana. Wewe unamjibu kila mtu hata wanao kudhihaki. Mungu alitazame hitaji lako na kukupa haja zako.
Utapata dada. Wapo wa dini yako. Wapo warefu kuliko wewe. Wapo wa London wapo wenye kazi na wapo 41+.Mimi ni wanamke ninae penda kuwa na amani na furaha wakati wote. Natafuta mchumba atakaekuwa
pia anataka kuwa kwenye ndoa.
Mimi sina watoto ambae pia hana watoto. Najitahidi kuwa kwenye misingi ya dini na ambae pia yuko kwenye misingi ya dini.
Naipenda kazi yangu na nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi. Naishi London, natoka Zanzibar, nafanya kazi ya ofsini mimi ni meneja wa ofisi, tunahusika na uhasibu.
Nina miaka 41, nahitaji mume wangu mtarajiwa awe na miaka kuanzi 41, muislamu na awe anaishi London pia,
rangi sio tatizo lakini awe kanizidi urefu, mimi ni 5'2".
Ahsanteni sana.
Na dm ma fisi maji yatakuwa yameshamcheki. Huyu ni janja janja tu.Usijari kuna boya ataingia 18 zako.
Yeye kasema anaefanya kazi…so hata kubeba mabox ni kazi TI…fanya fanya mambo ndugu yangu tule ubwabwa aise..Nipo London nabeba box na hili Dodo chini ya mnazi linaweza kua langu kimasihara tu,
Ngoja nivute pumzi kwanza nitarudi.
⛏⛏Mnaotafuta mke, mama wa watu kashajieleza sana na kawa muwazi kwamba kajiunga JF kwa dhumuni moja la kusaka mume...
Hebu fanyeni mambo
Labda nimtoe outing tu kama kula na kumzungusha kwenye jiji langu hiliMnaotafuta mke, mama wa watu kashajieleza sana na kawa muwazi kwamba kajiunga JF kwa dhumuni moja la kusaka mume...
Hebu fanyeni mambo
Ila waislam haswa hawatafutagi wake kwenye mitandao, hali kadhalika wakristo wanaojielewa, hapo nnitakuwaje?Sawa lakini nahitaji muislamu. Samahani saana kwa kweli.
Labda nimtoe outing tu kama kula na kumzungusha kwenye jiji langu hili
Ndio ataangaza angaza hapo kama akinibeba mimi mzee ninaekaribia 70 sawa piaHahah...sasa hapo hatakauwa hajapata mchumba bali rafiki tu
Mimi pia leo wameniathibu, kuwa nimetuma post zaidi ya moja na sikujuwa.Nipo London nabeba box na hili Dodo chini ya mnazi linaweza kua langu kimasihara tu,
Ngoja nivute pumzi kwanza nitarudi.
Lakini usija ndio kujifunza.Nipo London nabeba box na hili Dodo chini ya mnazi linaweza kua langu kimasihara tu,
Ngoja nivute pumzi kwanza nitarudi.
Bahati si yangu maana hivyo vigezo nimefeli vingi na kupasi kimoja tu. Lakini unaonekana ni Mwanamke muelewa, mnyenyekevu na mwenye busara. Ningepasi vigevyo vyako, harusi ingefanyika kabla ya x mass.Mimi ni wanamke ninae penda kuwa na amani na furaha wakati wote. Natafuta mchumba atakaekuwa
pia anataka kuwa kwenye ndoa.
Mimi sina watoto ambae pia hana watoto. Najitahidi kuwa kwenye misingi ya dini na ambae pia yuko kwenye misingi ya dini.
Naipenda kazi yangu na nahitaji mume wangu mtarajiwa pia awe anafanya kazi. Naishi London, natoka Zanzibar, nafanya kazi ya ofsini mimi ni meneja wa ofisi, tunahusika na uhasibu.
Nina miaka 41, nahitaji mume wangu mtarajiwa awe na miaka kuanzi 41, muislamu na awe anaishi London pia,
rangi sio tatizo lakini awe kanizidi urefu, mimi ni 5'2".
Ahsanteni sana.
🙏🙏ebhana masela jiangalieni, ohoo!!
siyo kwasababu umesikia London unakurupuka tu, tamaa siyo nzuri.
Kwa kweli sijapata kuonaHivi yule mama aliyekuwa anaishi sweeden kama sikosei ambaye alikuwa analalamika amechoka kulala peke yake nyege zinamsumbua alipataga mume?
🙏🙏Bahati si yangu maana hivyo vigezo nimefeli vingi na kupasi kimoja tu. Lakini unaonekana ni Mwanamke muelewa, mnyenyekevu na mwenye busara. Ningepasi vigevyo vyako, harusi ingefanyika kabla ya x mass.
Kwa kweli sio kwa umri huoNdio ataangaza angaza hapo kama akinibeba mimi mzee ninaekaribia 70 sawa pia
Atakula pension na mimi huku tukikata maua [emoji1]