Natafuta Meneja wa kunisimamia katika kazi zangu

Hiyo picha ya kwenye jalada imetengenezwa kwa AI na jina lako umeliandika kama uko darasa la kwanza. Huna mhariri, na kama unaye, hajui anachokifanya.
___
Huko juu waambie wadau hayo si majadala halisi, ni mock-ups, na umetengeneza kwa AI ndiyo maana kuna typos.
Usijifarague kuwa uko sahihi ilhali ni makosa ya wazi.
 
Kuihusisha St Joseph Dar es salaam na lugha chafu ndio wamekufundisha tabia hizo wanataarifa na wewe kwa unachokiandka kwa kupitia mgongo wa wa st Joseph
Anae kujibu hapa ni Pascal sio St joseph... mpuuzi wewe usichanganye hisia za umasikini na mitandao
 
Relax baby girl... kazi za kiume hizi
 
Shemasi wewe ndo mjuaji pro max. Kubali kukosolewa, so long as wewe ni binadamu huwezi kujua kila kitu. Na uache kiherehere
Baby girl kihere here ni wewe ulie ingia mazima kwenye maada za kiume.. nilikuwa natafuta manager nimesha mpata sio washauri
 
AI Generated Book Cover, Kweli kama umetunga vitabu 6 ushindwe kupiga picha za uhalisia mpaka uweke za AI?

Au unataka kupiga watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…