Natafuta mganga wa kienyeji konki

Dar utaibiwa! Nenda vijijini. Au tafuta wale wanaoletwa na wakubwa kutoka kijijini uwadake.
Ndo unipe connection mjamaa,kuhusu waganga fake nawajua kuna mmoja huyo nilienda yupo vingunguti nikamwambia mganga naomba unipige ramli.

Jamaa anaanza kuniambia oohh unasumbuliwa na mapenzi sijui unafanya biashara za mitumba aisee NILIANGUA KICHEKO KISHA NIKAONDOKA...alivyosema tofauti na nilivyoviendea
 
Acha ubahili waganga wanatafutwa mbali,dar wamejaa masela wenye njaa kama wewe
Sio Waganga wote waliopo dsm ni matapeli, Mwaka 2014 nilipopata tatizo kubwa kabisa lililohatarisha ustawi wangu binafsi na familia yangu, aliyenitibu alikuwa Mganga wa hapo hapo DSM, bahati mbaya sina mawasiliano yake kwasasa.
 
Mganga mkuu ni yesu kristo

ndie mganga wangu mkuu

""Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…