Natafuta mganga wa kienyeji konki

Njoo pm ujieleze vizuri halafu nikamuuliza mtalaam ninaemjua kama analiweza tatizo lako. Akisema analiweza nitakupa mawasiliano yake.
 
Kwa anayehitaji mazindiko ya hatari dhidi ya uchawi na sumu, na wale wanaohitaji vidono yaani ile dawa ambayo inazuia mapanga kupenya mwilini aje pm, uwe tayari kusafiri kutoka uliko hadi kanda ya ziwa.

Namba ya mtalaamu nitakupa ukifika getini kwake kwa sababu watu wakipewa namba wanapiga simu kwa mtalaamu na kuanza kuleta mambo ya kikuda halafu sisi tuliotoa namba ndio tunaonekana waduanzi.

NAMBA NI BURE, VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
 
Hii safi Sana,hivi hii kidono ni mapanga tu au na risasi?
 
Mzee hatimae ulipata connection ya mtaalamu, maana kuna kipindi uliwasaka sana hapa. Nakuja pm
 
Kishaingia kwenye dhana sio sasa wataka umloge mtu
 
Usisemee mioyo ya watu,pengine na mimi nimesharogwa sana tu,usiyoyajua yasikupe shida
Hapa jambo ni moja tu na lazima likamilike hakuna ushauri wa kurudi nyuma
Dunia ndio hii na sisi ndio walimwengu
Imeisha hiyo ....
 
Nionavyo mimi, wewe huitaji mganga wa uhakika bali mchawi aliyeshindikana ambaye akikunyoshea kidole unakauka hapo hapo.
 
Nilileta mrejesho
Kuna mwamba yupo Vingunguti alinisaidia kwa Laki na nusu tu
Kesi mahakamani nilishinda
Na mtesi wangu mpaka leo mambo yake hayaendi amevurugwa soon atarudi kijijini mjini kumesha mshinda
Kumbe unamfatilia?🤣😂ujue kama dawa imefanya kaz
 
Nilileta mrejesho
Kuna mwamba yupo Vingunguti alinisaidia kwa Laki na nusu tu
Kesi mahakamani nilishinda
Na mtesi wangu mpaka leo mambo yake hayaendi amevurugwa soon atarudi kijijini mjini kumesha mshinda
Mrisho? Au ustaadh hivi
 
Nilileta mrejesho
Kuna mwamba yupo Vingunguti alinisaidia kwa Laki na nusu tu
Kesi mahakamani nilishinda
Na mtesi wangu mpaka leo mambo yake hayaendi amevurugwa soon atarudi kijijini mjini kumesha mshinda
Safi sana.
 
Share nasi mawasiliano yake, hii itakuwa kama shukurani yako kwake kwa kumtafutia wateja wengine.
 
Heshima kwenu wakuu!!

Kwa wale watafutaji wenzangu, hasa kwenye biashara, naomba kama unamjua mganga wa kienyeji aliebobea kwenye mambo ya biashara unisaidie.

Dawa zinazidiana nguvu, NATAKA KUONGEZEA NGUVU.

Kama utanisaida nikifanikiwa nitakupa shukrani.

Asanteni sana wakuu.

Hornet juma mpemba et al
 
Mganga mkuu wa biashara yako ni ulimi wako kwa wateja wako
 
Nenda kiloka kuna mzee ila jina lake huwezi amini silijui kabisa,huyu mzee panda gari zinazopita mikese kuja kutokea kiloka,shuka hapo tafuta bodaboda yeyote mwambie nataka yule mzee anaeishi peke yeke juu ya mlima.

Ukipanda gari shuka kituo kinaitwa dukani.

Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…