Anko huyo Ni wa wapi? NtakucheckANAYE HITAJI MGANGA WA UWAKIKA ANICHEKI 0678063140
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anko huyo Ni wa wapi? NtakucheckANAYE HITAJI MGANGA WA UWAKIKA ANICHEKI 0678063140
Njoo pm ujieleze vizuri halafu nikamuuliza mtalaam ninaemjua kama analiweza tatizo lako. Akisema analiweza nitakupa mawasiliano yake.Wakuu kama title inavyojieleza, kuna rafiki yangu ambaye amepata matatizo na amehangaika makanisani miaka na miaka lakini tatizo ndio kama linaota mizizi.
Mimi ndie kama ndugu yake na msaada wake anaetegemea (Hana msaada) so najaribu kuhangaika sana ila nimeona ni bora nishirikishe wadau ili nipate mtaalamu wa uhakika mwenye uwezo wa kuondoa vifungo mbali mbali nk
Nipo Dar.. Kwa ambaye anayo namba ya mtaalamu mzuri wa uhakika kwenye mambo ya asili basi anipe mawasiliano yake.
Hii safi Sana,hivi hii kidono ni mapanga tu au na risasi?Kwa anayehitaji mazindiko ya hatari dhidi ya uchawi na sumu, na wale wanaohitaji vidono yaani ile dawa ambayo inazuia mapanga kupenya mwilini aje pm, uwe tayari kusafiri kutoka uliko hadi kanda ya ziwa.
Namba ya mtalaamu nitakupa ukifika getini kwake kwa sababu watu wakipewa namba wanapiga simu kwa mtalaamu na kuanza kuleta mambo ya kikuda halafu sisi tuliotoa namba ndio tunaonekana waduanzi.
NAMBA NI BURE, VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
Kwa anayehitaji mazindiko ya hatari dhidi ya uchawi na sumu, na wale wanaohitaji vidono yaani ile dawa ambayo inazuia mapanga kupenya mwilini aje pm, uwe tayari kusafiri kutoka uliko hadi kanda ya ziwa.
Namba ya mtalaamu nitakupa ukifika getini kwake kwa sababu watu wakipewa namba wanapiga simu kwa mtalaamu na kuanza kuleta mambo ya kikuda halafu sisi tuliotoa namba ndio tunaonekana waduanzi.
NAMBA NI BURE, VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
Kishaingia kwenye dhana sio sasa wataka umloge mtuPoleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.
Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
Imeisha hiyo ....Usisemee mioyo ya watu,pengine na mimi nimesharogwa sana tu,usiyoyajua yasikupe shida
Hapa jambo ni moja tu na lazima likamilike hakuna ushauri wa kurudi nyuma
Dunia ndio hii na sisi ndio walimwengu
Nionavyo mimi, wewe huitaji mganga wa uhakika bali mchawi aliyeshindikana ambaye akikunyoshea kidole unakauka hapo hapo.Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.
Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
Vipi tupe mrejesho
Maya Angelou ulishamroga mtesi wako? Tupe mrejesho?
Kumbe unamfatilia?🤣😂ujue kama dawa imefanya kazNilileta mrejesho
Kuna mwamba yupo Vingunguti alinisaidia kwa Laki na nusu tu
Kesi mahakamani nilishinda
Na mtesi wangu mpaka leo mambo yake hayaendi amevurugwa soon atarudi kijijini mjini kumesha mshinda
Mrisho? Au ustaadh hiviNilileta mrejesho
Kuna mwamba yupo Vingunguti alinisaidia kwa Laki na nusu tu
Kesi mahakamani nilishinda
Na mtesi wangu mpaka leo mambo yake hayaendi amevurugwa soon atarudi kijijini mjini kumesha mshinda
Safi sana.Nilileta mrejesho
Kuna mwamba yupo Vingunguti alinisaidia kwa Laki na nusu tu
Kesi mahakamani nilishinda
Na mtesi wangu mpaka leo mambo yake hayaendi amevurugwa soon atarudi kijijini mjini kumesha mshinda
Share nasi mawasiliano yake, hii itakuwa kama shukurani yako kwake kwa kumtafutia wateja wengine.Nilileta mrejesho
Kuna mwamba yupo Vingunguti alinisaidia kwa Laki na nusu tu
Kesi mahakamani nilishinda
Na mtesi wangu mpaka leo mambo yake hayaendi amevurugwa soon atarudi kijijini mjini kumesha mshinda
Mganga mkuu wa biashara yako ni ulimi wako kwa wateja wakoHeshima kwenu wakuu!!
Kwa wale watafutaji wenzangu, hasa kwenye biashara, naomba kama unamjua mganga wa kienyeji aliebobea kwenye mambo ya biashara unisaidie.
Dawa zinazidiana nguvu, NATAKA KUONGEZEA NGUVU.
Kama utanisaida nikifanikiwa nitakupa shukrani.
Asanteni sana wakuu.
Hornet juma mpemba et al
Nenda kiloka kuna mzee ila jina lake huwezi amini silijui kabisa,huyu mzee panda gari zinazopita mikese kuja kutokea kiloka,shuka hapo tafuta bodaboda yeyote mwambie nataka yule mzee anaeishi peke yeke juu ya mlima.Heshima kwenu wakuu!!