PROFOUND NOTION
Member
- Nov 3, 2022
- 74
- 146
Ni naniSijui nikupe namba ya Abdul tupate hela ya bapa badae?
Ni rafiki yangu sana ,anaweza kukuigizia ili akupige hata fifty ya haraka haraka ili badae Mimi na yeye tuishi vizuriNi nani
Mkuu maji na mafuta nimeshatumia lakini wapiii ndugu tena kwa imaniMona kwa Moja elekeea kawe na buku mbili zako
Ndugu nimeshatumia tena kwa imani ila wapi.Mona kwa Moja elekeea kawe na buku mbili zako
Mkuu pole sana, mama aike dumba anaweza kukurudisha kwenye ramani fasta mno. Nakuja pm kwa maelekezo zaidi.Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.
Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia familia yangu.
Baada ya mwanzo mzuri sana wa biashara yangu ilianza kufa ghafla na imedidimia hadi leo. Nakaa kuhesabu boda boda zikipita njee ya barabarani
Nisaidieni kupata mganga mzuri mwenye kuweza kunirudisha vizuri kiuchumi.
pliz naomba usiwe mzito kunisaidia.
Achana na watu wanaokwambia eti mganga hawezi kukusaidia, ata mimi katika kipindi flani cha maisha yangu niliaminishwa ivo na ukizingatia elimu dunia niliyonayo nilipingana sana na hoja ya kuwa waganga wana nguvu za kuweza kusaidia.mwaka 2019 yaliponikuta biashara yangu ikapigwa pini na TRA, wyf akaugua pressure ndo niliisoma namba.mwamba mmoja ndo alinitip uwepo uwepo wa mama aike dumba ,Mungu katika dunia,alpha na omega, na ndio ukawa mwisho wa matatizo yanguPata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.
Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia familia yangu.
Baada ya mwanzo mzuri sana wa biashara yangu ilianza kufa ghafla na imedidimia hadi leo. Nakaa kuhesabu boda boda zikipita njee ya barabarani
Nisaidieni kupata mganga mzuri mwenye kuweza kunirudisha vizuri kiuchumi.
pliz naomba usiwe mzito kunisaidia.
Mganga ndo anaenda kumaliza show kabisa na kukufanya uwe chiziPata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.
Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia familia yangu.
Baada ya mwanzo mzuri sana wa biashara yangu ilianza kufa ghafla na imedidimia hadi leo. Nakaa kuhesabu boda boda zikipita njee ya barabarani
Nisaidieni kupata mganga mzuri mwenye kuweza kunirudisha vizuri kiuchumi.
pliz naomba usiwe mzito kunisaidia.
Aya maswala yako juu ya upeo wa akili na experience yako ,bora ukae kimya kuliko kupotoshaMganga ndo anaenda kumaliza show kabisa na kukufanya uwe chizi
Mtafutie mganga