PROFOUND NOTION
Member
- Nov 3, 2022
- 74
- 146
Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.
Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia familia yangu.
Baada ya mwanzo mzuri sana wa biashara yangu ilianza kufa ghafla na imedidimia hadi leo. Nakaa kuhesabu boda boda zikipita njee ya barabarani
Nisaidieni kupata mganga mzuri mwenye kuweza kunirudisha vizuri kiuchumi.
pliz naomba usiwe mzito kunisaidia.