Aise mi sifahamu , ila kwa Emma sikushauli. Marehemu Mwandulami mwenyewe mwishoni mwa uhai wake alianza kuyakataa kiaina.
Niliwahi kumufuata 2015,nikamwambia Dk
Nimeibiwa pikipiki yangu.
Kaniambia nunua nyingine, tusije kuuwa watu kisa pikipiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise mi sifahamu , ila kwa Emma sikushauli. Marehemu Mwandulami mwenyewe mwishoni mwa uhai wake alianza kuyakataa kiaina.
Hapana mkuu mtazamo wako tuu hata hao waganga wana dhulumika sana trust me ,MTU anatengenezewa for free akifanikiwa anasema JESUS AMETENDAToa pesa upate pesa..mbona kama msemo wa kitapeli huu.
Mmh wacheni wajaribu jmnEmma sio mtoto wa marehemu mwandulami, Bali ni mkwe wake, kaoa Binti yake.
Huko asiende hakuna kitu.
Weka tu apa tutapata na mrejesho ni ya kweliKama bado hujapata ni inbox nikuunganishe.
Maduka ya sunna wana dawa za kusafisha nyota
Nakuomba pm kama hutojaliJambo langu limekamilika [emoji736],nilipewa siku 7 ndani ya siku 3 majibu tayari
Wana jf washukuriwe [emoji1433][emoji1431]
Mmmh!,hapo Makanya napafahamu,ngoja nifanye uchunguzi wanguBasi ngoja niwapatie kisa flani hivi..
Mwaka 2019 niliibiwa simu zangu kama 3 hivi...(kila moja ilikuwa na matumizi yake ikiwemo ya shughuli za dukani).
Basi nikaelekezwa kwenda pale makanya sehemu inaitwa nkwini. Nimefika mzee akaniambia utazipata tu.
Basi akanipigisha kambi kama siku 3 kwake ila usiku wa manane ananiamsha tunatoka nje kuna upande tunasimama halafu kuna maneno anaongea na mimi ananiambia niongee maneno flani.
Basi akaniambia nikanunue mbuzi wale wa rangi za brown na kuku wa nkama sijui. Kwa ajili ya kuniangalia matatizo yangu lakini pia itolewe kama sadaka yani watu waitwe wale na chakula kipikwe.
Basi siku ya mnada wa makanya j5 tukaenda na mwanae ikantoka kama 80 elfu hivi kununua mbuzi na jogoo.
Basi akamchinja yule mbuzi akachukua utumbo wake akawa anaangalia vitu flani.
Kupitia ule utumbo aliniambia anaona msiba kwenye familia yangu ila sio mimi nitakaekufa
Pia anaona nina nyota ya hela na kuna utajiri mkubwa mbeleni (sasa sijawa tajiri ila mtaji upo mahali unakuja na nishauzoom).
Na sijalogwa sema ni matatizo tu madogo madogo ambayo mengine niliyasababisha mimi mwenyewe na kuna jambo akanilataza nisilofanye kwani litaharibu baraka zangu na malaika wanaonilinda watachukia.
Pia aliniambia jambo lingine ambalo sijalitaja nalo likawa vile vile.
Kingine akaniambia mwanaume niliye naye japo ninampenda sana hanifai kabisaa na atanisumbua sana mbeleni.
Haya yote aliyoyasema yalitimia kwa asilimia 100% na simu nilikuja kuzipata na aliyenikaba kwakuwa sura nilimkumbuka ndo alikamatwa (yani aliiba June 2019 akaja kukamatwa October 2019) akalipa gharama zote.
Sema huyu mzee mganga kwa jina la Wandile alikuja kufa na korona mwaka jana mwanzoni.
Ila alikuwa hatarii
So waganga wapo na wana maajabu watu muache ubishi
s. ngomaWeka tu apa tutapata na mrejesho ni ya kweli
Hahahas. ngoma
Huyo ni just a person hahahahahaaHahaha
Huyu hata Mimi namtaka aiseePanda gari za njombe...shuka wangama ni kabla ya kufika njombe mjini. Utakutana na kijana anaitwa imma mtoto wa mwandulami.
Bora tu usionee mtu. Kama umeonewa atakupeleka mahali utanena yoote ambayo unataka mbaya wako ayapitie ...
Baada ya muda kweli kama umeonewa utayaona mengi sana yakiyokea.
Namba ya imma nitakupatia ukihitaji.
Ila dhambi yako nisiulizwe.
Kuna muda unaonewa hadi unatamani ufe
Subiri Maya Angelou ataleta connection apa yenye kitu😂
Watu wa mahubiri tunakuangalia tu unavohangaika na shetaniPoleni na majukumu ya kila siku
Nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha
Moja kwa moja kwenye mada,nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo
Hii dunia ina mengi,na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha,nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza, ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana
Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu
Consult Minister Mwezi Mwanzo wa Mwaka Ma Rope ( MP ) atakupa anayemtumia na Kumsaidia 24/7.Poleni na majukumu ya kila siku
Nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha
Moja kwa moja kwenye mada,nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo
Hii dunia ina mengi,na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha,nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza, ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa
Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana
Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu
Ili
Nahangaika na Mungu tu ..sio manabiiNa yeye wa shetani anakuangalia tu unavyo hangaika na mapasta na manabii feki huku wakikufilisi uwe maskin zaidi.