Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Nitakutumia hiyo namba ila tafadhari huyo unayetaka kumwekea Limbwata asiwe Mwanangu tu, manake first born wangu yupo hapo Mjini na Mimi Baba yake bado namtegemea kwa mia mbili mbili anazonitumiaga 🤪🏃🏃
Nina hakika naemtupia anahusiana na wewe
Lkn relax tule mema ya nchi ba mkwe sitakuangusha
 
Nina hakika naemtupia anahusiana na wewe
Lkn relax tule mema ya nchi ba mkwe sitakuangusha
Ukisha mu-win najua atakuwa anafata maelekezo yako tu, kwahiyo nihakikishie utakuwa unaniweka kila mwezi laki 3 kwenye akaunti yangu 🤪
 
Wakuu mambo vp?

Nina ishu serious sana inanisumbua nahitaji mganga mwenye uwezo wa kunitatulia tatizo langu. Maana wengi nilioenda hawana suluhisho la muda mrefu ni kama wanakutibu ndani ya muda mfupi tatizo linarudi tena!

Nipo Dar akipatikana aliye Dar itapendeza zaidi.

N.B: Wale wa chumvi ya mawe, mara sijui nimwombe Mungu yote hayo nayajua lakini siyataki kwenye uzi huu. Nataka watu wenye miamba konki ya kutatua tatizo langu.
Kwanza pole kwa matatizo, nenda Kimara Temboni, ulizia Ngomeni, nenda kamuone Kuhani Musa, utapatiwa vifaa vya kiroho matatizo yako yote yatakwisha!.
P
 
Back
Top Bottom