Natafuta mganga wa kienyeji konki

Natafuta mganga wa kienyeji konki

Lkn wenye maeneo au nyumba nao wanatamaa,umeshasema eneo ni shilingi kadhaa mkakubaliana,sasa iweje uje ubadiiike tena?

Day moja nilikuwa nimechill sehemu nikasikia madalali wanalalamika hivyo hivyo,mwenye eneo alitaka milioni 70,madalali wakampata mteja kwa milioni 80,sasa muuzaji eti akataka kukataa kuwapa 10ml yao,kilichofuatia madalali wakaharibu biashara nzima,wakamwambia mnunuzi eneo lina mgogoro shughuli ikaishia hapo

Sasa muuzaji akawa anawapigia tena madalali na hawakupokea simu

Kuna ishu miaka ya nyuma nasikia ilikuwa mbezi beach,mwenye nyumba anataka auziwe nyumba milioni 200,wakamuuliza mwenye nyumba kwahiyo akipatikana wa hii hela hakuna shida,akajibu ndio,wanaume wakaja na mteja kwa milioni 400,mwenye nyumba kaingia tamaa akakataa kuuza

Shida ipo kwa muuzaji,kama ushatangaza bei iweje uje ugeuke tena?
 
Huyu jamaa alisema eneo lake linauzwa 18M tumtafutie mteja aisee sisi tumepata mteja wa 39M Leo saa Tano asubuhi ilikua tumalize biashara mteja kashakubali kulipia lenyewe kusikia eti tunataka kuchukua 21m aisee huyu mbwa kaghairi kasema hafanyi biashara na sababu zake hazieleweki aisee huyu jamaa sijui tumfanyaje aisee mwenye namba ya mganga mtaalamu naomba anisaidie pm huu ujinga aisee hajui huyu jamaa tumemtoa mbali Ili kuja kununua Hilo eneo lake analeta masihara na hela
Wapuuzi nyie! Hata mimi siuzi shenz zenu, hapo mngekula angalau 5M...yaani mpate nyingi kuliko mwenye mali?...huo ufala.
 
Lkn wenye maeneo au nyumba nao wanatamaa,umeshasema eneo ni shilingi kadhaa mkakubaliana,sasa iweje uje ubadiiike tena?

Day moja nilikuwa nimechill sehemu nikasikia madalali wanalalamika hivyo hivyo,mwenye alitaka milioni 70,madalali wakampata mteja kwa milioni 80,sasa muuzaji eti akataka kukataa kuwapa 10ml yao,kilichofuatia madalali wakaharibu biashara nzima,wakamwambia mnunuzi eneo lina mgogoro shughuli ikaishia hapo

Sasa muuzaji akawa anawapigia tena madalali na hawakupokea simu

Kuna ishu miaka ya nyuma nasikia ilikuwa mbezi beach,mwenye nyumba anataka auziwe nyumba milioni 200,wakamuuliza mwenye kwahiyo akipatikana wa hii hela hakuna shida,akajibu ndio,wanaume wakaja na mteja kwa milioni 400,mwenye nyumba kaingia tamaa akakataa kuuza

Shida ipo kwa muuzaji,kama ushatangaza bei iweje uje ugeuke tena?
Tufanye ni wewe utasaini hizo document kweli za kujipunja mali yako..? Dalali ni mtu mchawi tu hasa hawa wasio na chao wakukataa
 
Muwe mnatumia akili muda mwingine.

Mnasema mteja mmemtoa mbali ,, ndio mstahili mapato Zaid ya mwenye Mali?

Mnafahamu alilipataje hilo eneo?

Kama mngekuwa na akili mngenunua kwake Kwa hiyo m 18 kisha nanyi ndio muuze .. sio Mpo pumbu tupu mifukoni afu ghafla mpate m21
Acha ujinga wewe kwani angesema anataka milion 39 sisi tungekataa si tungeendelea kutafuta mteja wa juu sio huyu jamaa ni lofa tu kaingia tamaa Sasa atafute mteja yeye wa hiyo Bei kama atampata
 
Kumbe jana ulivyokua unatukana wanaofanya kazi viwandani, kum be udalali ndo unakupa jeuri
Ndio Bora niwe dalali sio kuhangaika na elfu 5 hapa kwenyewe Leo nimepata laki 1 ya kwenda kuonyesha eneo na naishi kibabe haya kiwandani unaenda kulamba miguu ya mchina halafu unapewa elfu 5 akili Gani hii
 
Mswahili huyo,ila udalali wa ivyo na kama hampo kisheria zaidi,inakuwa ngumu hata angekubari kuuza nakugoma kuwapa cha juu chenu msingekuwa na lakumfanya
Unamwambia weka mzigo wote kwa Account! Unatoa 5M unawapa lakini kwa sisi wazoea vagi bin fujo.
 
Tufanye ni wewe utasaini hizo document kweli za kujipunja mali yako..? Dalali ni mtu mchawi tu hasa hawa wasio na chao wakukataa
Ishu ya kufanya ni kufanya utafiti kwanza je,mali yangu ina thamani gani? Kisha weka dau lako

Ofkozi kwa ile nyumba ya pasu kwa pasu gepu ni kubwa sana

Ila kwa ishu nyingine uheshimu makubaliano,kumbuka dalali anauza taarifa ambazo wewe huna,ndio maana ukamtafuta upate msaada wake
 
Huyu jamaa alisema eneo lake linauzwa 18M tumtafutie mteja aisee sisi tumepata mteja wa 39M Leo saa Tano asubuhi ilikua tumalize biashara mteja kashakubali kulipia lenyewe kusikia eti tunataka kuchukua 21m aisee huyu mbwa kaghairi kasema hafanyi biashara na sababu zake hazieleweki aisee huyu jamaa sijui tumfanyaje aisee mwenye namba ya mganga mtaalamu naomba anisaidie pm huu ujinga aisee hajui huyu jamaa tumemtoa mbali Ili kuja kununua Hilo eneo lake analeta masihara na hela
Mwambieni mtampa 29 atakubali. Yaani nyie mchukue 21 mwenye eneo langu nichukue 18, hamuoni kama ni dhulma!?. Hata ingekuwa wewe usingekubali.
 
Huyu jamaa alisema eneo lake linauzwa 18M tumtafutie mteja aisee sisi tumepata mteja wa 39M Leo saa Tano asubuhi ilikua tumalize biashara mteja kashakubali kulipia lenyewe kusikia eti tunataka kuchukua 21m aisee huyu mbwa kaghairi kasema hafanyi biashara na sababu zake hazieleweki aisee huyu jamaa sijui tumfanyaje aisee mwenye namba ya mganga mtaalamu naomba anisaidie pm huu ujinga aisee hajui huyu jamaa tumemtoa mbali Ili kuja kununua Hilo eneo lake analeta masihara na hela
Unang'ang'ania eneo la watu na kilazmisha mtu auze kisa una 21m hata kama ni mm siuzi aisee eneo hukununua ww alaf hauna ela alaf unataka ela kubwa kulko mwenye eneo Tena mara 2 na nusu ya ela atakayopata mwenye eneo ? Ww hata eneo la robo futi huna alaf unataka ela za wanaume !! Tafuta lako ndo uuze Kwa milion 39 alaf uchukue zote!!
 
Ishu ya kufanya ni kufanya utafiti kwanza je,mali yangu ina thamani gani? Kisha weka dau lako

Ofkozi kwa ile nyumba ya pasu kwa pasu gepu ni kubwa sana

Ila kwa ishu nyingine uheshimu makubaliano,kumbuka dalali anauza taarifa ambazo wewe huna,ndio maana ukamtafuta upate msaada wake
Mkuu. Tukisimama upande wa mwenye mali nadhani sote tutakataa kuuza.
Pili. Bei inaweza badilika sokoni muda wowote hivo nayeye muuzaji ana haki ya kusema bei hii kwa hapa hapana.
Tatu. Dalali alishindwa nini kumueleza muuzaji mapema kabla hajaenda na mteja ili kama atakataa waweze kuwekeana dau jipya..? Faida kwa wote
 
Muwe mnatumia akili muda mwingine.

Mnasema mteja mmemtoa mbali ,, ndio mstahili mapato Zaid ya mwenye Mali?

Mnafahamu alilipataje hilo eneo?

Kama mngekuwa na akili mngenunua kwake Kwa hiyo m 18 kisha nanyi ndio muuze .. sio Mpo pumbu tupu mifukoni afu ghafla mpate m21
Hawako serious hawa jamaa 😂😂😂😂😂😂
 
Huyu jamaa alisema eneo lake linauzwa 18M tumtafutie mteja aisee sisi tumepata mteja wa 39M Leo saa Tano asubuhi ilikua tumalize biashara mteja kashakubali kulipia lenyewe kusikia eti tunataka kuchukua 21m aisee huyu mbwa kaghairi kasema hafanyi biashara na sababu zake hazieleweki aisee huyu jamaa sijui tumfanyaje aisee mwenye namba ya mganga mtaalamu naomba anisaidie pm huu ujinga aisee hajui huyu jamaa tumemtoa mbali Ili kuja kununua Hilo eneo lake analeta masihara na hela
Kwanza hamtambulik na Sheria na wala nyie sio parties kweny mkataba ,Kwa iyo hata ela ikawekwa kweny akaunti yote hamna pa kumpeleka maana mkataba umeandikwa milion 39 na amesain milion 39 nyie mtataka nn?
 
Jamaa anadhani kiurahisi tu wata make 20+M kizembe sana. Na anataka akaroge aisee. Aangalie asije jiroga yeye.
Hana uwezo huo wa kuturoga hapo kwenyewe atamkumbuka huyo mteja yaani kiwanja kitatengenezwa hakitoonekana Kwa macho ya nyama milele
 
Tufanye ni wewe utasaini hizo document kweli za kujipunja mali yako..? Dalali ni mtu mchawi tu hasa hawa wasio na chao wakukataa
Wapuuzi sana, kitambo nilikuwa napangisha nyumba nikawapa na bei yangu, basi wanakuja na watu wakijua kabisa hawamudu bei ya hapo, ila wanawadai ya usumbufu na ya kuona nyumba...pumbavu nikawatimua.
 
Kwanza hamtbulik na Sheria na wala nyie sio parties kweny mkataba ,Kwa iyo hata ela ikawekwa kweny akaunti yote hamna pa kumpeleka maana mkataba umeandikwa milion 39 na amesain milion 39 nyie mtataka nn?
Hapo sasa ingekua mhuni mimi eneo lingeuzwa na sana sana ningewapa 1M wakafie mbele.
 
Back
Top Bottom