Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Lkn wenye maeneo au nyumba nao wanatamaa,umeshasema eneo ni shilingi kadhaa mkakubaliana,sasa iweje uje ubadiiike tena?
Day moja nilikuwa nimechill sehemu nikasikia madalali wanalalamika hivyo hivyo,mwenye eneo alitaka milioni 70,madalali wakampata mteja kwa milioni 80,sasa muuzaji eti akataka kukataa kuwapa 10ml yao,kilichofuatia madalali wakaharibu biashara nzima,wakamwambia mnunuzi eneo lina mgogoro shughuli ikaishia hapo
Sasa muuzaji akawa anawapigia tena madalali na hawakupokea simu
Kuna ishu miaka ya nyuma nasikia ilikuwa mbezi beach,mwenye nyumba anataka auziwe nyumba milioni 200,wakamuuliza mwenye nyumba kwahiyo akipatikana wa hii hela hakuna shida,akajibu ndio,wanaume wakaja na mteja kwa milioni 400,mwenye nyumba kaingia tamaa akakataa kuuza
Shida ipo kwa muuzaji,kama ushatangaza bei iweje uje ugeuke tena?