Natafuta mtu atakayeshirikiana na mimi kwenye kazi ya maombi ya kuombea watu

Hakuna sadaka na sio kanisa
Hata Yesu alikua na wanafunzi 12
Hujui kuwa Yesu alikuwaga na mtunza hazina miongoni mwa hao kumi na wawili?

Weka wazi umepewa na nani hilo wazo la kuanzisha team kama hiyo.

Maana haupo wazi kama ni mhemko wa Kuhubiri ama na uvuvio kutoka kwa ROHO MTAKATIFU.

Funguka mpendwa
 
Yesu aliokota mpaka wavuvi akawafanya vichwa vya kanisa.

Wewe unatafuta wasomi ili ukamikishe divine tasks.

Mungu wako kiboko kweli kweli
 
Jipendekezeni kwa freemason huyo😂😂😂 mkaliwe damu zenu
 
Zingatia maokoto mkuu akiombewa mtu anatoa sadaka
 
Wewe Yesu humjui bali unamsikia tu. Ndio maana kirahisi tu umeandika kwamba mambo ya Yesu ni Illusion tu. Hata hivyo mleta mada ana Mizaha ya level ya PhD. Kondoo machinjioni
 
Hujui kuwa Yesu alikuwaga na mtunza hazina miongoni mwa hao kumi na wawili?

Weka wazi umepewa na nani hilo wazo la kuanzisha team kama hiyo.

Maana haupo wazi kama ni mhemko wa Kuhubiri ama na uvuvio kutoka kwa ROHO MTAKATIFU.

Funguka mpendwa
Huyu ni Kivuruge wa kiimani kama vivuruge wengine. Hawa ndio wanaofanya Ukristo utukanwe!
 
Dunia inahitaji sayansi, AI na kufanya kazi sio maombi, ukinuonyesha sehemu Bskheresa alikaa akaomba na kupiga Dua akaweza kuitengeneza Azam, kununua boti za mabilioni, au nionyeshe Dr Mengi alipokaa akaomba akaweza kuitengeneza IPP media ikatoa ajira kibao,au maombi gani Diamond na majizo walifanya wakaweza kutengeneza wasafi na EFM,
Watu hawana changamoto za kiroho! Kikubwa kwao ni kipato, fedha! Na fedha haziji kwa maombi! Kama zingekuwa zinakuja kwa maombi, kwa nini hapo kanisani, wachungqji wasipige Dua tu bila waumin vikapu vijae midola!!
Sasa hv kuhubili imekuwa ajira kwa kila kijana "mvaa suti"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…