ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Sasa si upange chumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni hasara tupuwe alokupima nan akadhibitisha kua Ni mzima wa akili!!
Una certificate of verification
Mbona mpaka pussie za kukodi zipo.Toka naishi hapa dunia ndio nasikia mageto ya kukodi kwa masaa.
Nimezoea magari labda na nguo za kukodi.
Ila getto zakukodi😎😎
Atazisoma kwenye gazeti achana naeMsimulie habar zangu
ni hasara tupu
Nipe muda naww nikuchunguze akili yako nitakurudiani hasara tupu
Mkuu file lako hili hapa!!ni hasara tupu
Aache kuzunguka uarabuni kula tende atafute nn hukuDr samia kweli yumo humu kweli
Au hua tunapigwa kamba
😂😂😂😂huyu jamaa hela ya gazeti la mia 5 hanaAtazisoma kwenye gazeti achana nae
Kwann usiende hotels/motel/nyumba za wageni ongea na mhudumu wazo lako hawezi acha kukupatia km utamlipa sioni hata umuhimu wakushauriwa kwa kitu km hikiMimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo!
Nitakua nampooza ya maji!!
NB: Wenye ushauri wa uende lodge/hotel siwataki
Akasome vichwa vya habari ni bure ataona na picha yako kubwaaaa kwa mbele.😂😂😂😂huyu jamaa hela ya gazeti la mia 5 hana
Sawa shaka nmeondoaHapana sina hata iko kiungo cha kutolea kinyesi ondoa shaka
Geto liko mitaa ganSawa shaka nmeondoa
😂😂😂mwanangu unafaa sana kua mwenezi usiache hiki kipaji kipoteeAkasome vichwa vya habari ni bure ataona na picha yako kubwaaaa kwa mbele.
Kijana huwezi elewa mambo ya mtaa😂😂Mke wa mtu guest mbona ni salama kuliko geto?
unatia huruma! au uko kwene mahusiano yenye manyanyasoOkay
shemeji ganJina lefu hivo ila hauna geto? Kakodi geto kwa shemeji yako
Hiii nchi ni ya wanafiki, bila unafiki hutoboi, ni vyema kwenda na upepo. 😂😂😂 usione wanamuunga mama mkono ukadhani inatoka moyoni ni unafiki mwanzo mwisho.😂😂😂mwanangu unafaa sana kua mwenezi usiache hiki kipaji kipotee