Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Wewe ushaolewa kwani?Wewe yupo kwao
Noma noma hii tafuta dalali MzeeMimi niko tayari kipato changu papatu papatu na niko na watoto wawili
pisi yangu hiyoπmshamba_hachekwi na Mwachiluwi au niwape li shangazi la kwenda hiliππ€£ππ€
Ayamshamba_hachekwi na Mwachiluwi Fursa hiππ
Ko nimpigie uende ππ€£π
Bichwa Unique Flower una ona matusi hayaπ€£ππ€pisi yangu hiyoπ
Mies sina 45 so nikome mie mmbichi umeniona uliza huko kitaa uambiwe unique ni bado mmbichi najitunza aisee sio wewe unasubiri upasuaji wa upandikizaji wa uume huko hospitali ya jakaya kikwete umetoa milioni 6mshamba_hachekwi na Mwachiluwi au niwape li shangazi la kwenda hiliππ€£ππ€
Sio leoKo nimpigie uende ππ€£π
Sura yako ni mbaya kama chai jabaBichwa Unique Flower una ona matusi hayaπ€£ππ€
Hapa Bila bila mkuu mwenye nyuma anayetafuta mpangaji na mpangaji anayetafuta chumba yan droo drooNoma noma hii tafuta dalali Mzee
Anamtaka malaika, yaani kwa miaka yote hiyo 36 aliyokuwepo hapa duniani hajampata ndo aje ampate hapa jf kwa kina rikiboi.Hapa umepunguza idadi kubwa sana ya wadau
mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.
Wewe ndio huyo mwenye nyuma?Hapa Bila bila mkuu mwenye nyuma anayetafuta mpangaji na mpangaji anayetafuta chumba yan droo droo
Atapata tu usimkatishe tamaa je mbona mie nimempata mujerumani full kujiachiaAnamtaka malaika, yaani kwa miaka yote hiyo 36 aliyokuwepo hapa duniani hajampata ndo aje ampate hapa jf kwa kina rikiboi.
Jibu swali wewe umeolewa au unarukaruka tu?Wewe shemeji wa ukoo Intelligent businessman nasikia unaoa aisha ngedere π€£πππ mbavu zangu
Usivunjike moyo. Kama dhamira na nia ya hitaji lako lipo la ukweli. Baci amini ufalme wa mungu. Utafanyikisha. Haupo Pekeako utaombewa....Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .
Ahsante.
Mjerumani wa kuchonga π₯΄Atapata tu usimkatishe tamaa je mbona mie nimempata mujerumani full kujiachia
Sio rahisi kihivyo, afunge na kusali.Atapata tu usimkatishe tamaa je mbona mie nimempata mujerumani full kujiachia
Kweli mie songle sina mutot nasasa na subiria akuje mwakaniSio rahisi kihivyo, afunge na kusali.
Hilo la kua na mtoto ni pancha tayari, cha kujiuliza ni je yeye yuko na sifa hizo au anataka kumtesa tu mwenzie?