Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

wewe bikra unayo?
Mwanaume ha trade bikra katika mahusiano,mwanaume thamani yake anaitafuta Kama huyu akasoma akaajiriwa ivyo uhakika wa mke wake kula na kulala nk upo.
Unadhani mwanamke katika mahusiano unachangia nini zaidi ya mwili wako so mwili wako inabidi uwe na thamani kweli kweli mojawapo kinachoutambulisha uthamani wake ni bikra,jiulize why me hakuumbwa na sealed ya ubikra.

Yaani mwanamke zaidi ya mwili wako huna cha kuchangia kwenye mahusiano ,mwili wako uzae na mwanaume at00mbe basi.
Mwanaume anaangalia jana yako Ila wewe unaangalia kesho ya mwanaume.

Just tell me what are you trading in relationship a part from your body, can you build even a house or pay one year rented house.
Wakati utaanza kulia wewe mpaka watu wote watajua unalipa wewe.

Thamani yako wewe ni mwili yaani mwili ambao hata hukuumia kuupata ilitakiwa uwe mwaminifu mpaka mme wako atakapoufungua
 
Ndio bro, ila nashangaa wengine wanakuja kwa hasira na matusi, naamini kila mmoja anachagua akipendacho mimi nimapenda niwe na mke niliemkuta akiwa bikra na mwingine atakuambia anapenda aoe mwanamke aliewahi kutoa mimba or mzoefu wa show,,, ni kila mmoja na maamuzi yake ni kama mwanamke tu anapochagua mwanaume mwenye hela, handsome, etc
 
Nenda Zenji utawapata wengi tu tatizo hawana marinda.

Nyau de adriz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…