Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Mwanaume una ajira na kipato kizuri unatafuta mwanamke tena social media?

Mwanaume bora hatafuti wanawake, mwanamke bora utokea kwa mwanaume bora sababu ya ubora wake, ukiona unatafuta wanawake jua unakasoro, uwezi kuwa na pesa na ajira ukatafuta wanawake tena social media. Jua watu uijue dunia na vinavyokuzunguka.
 
Asante kwa muongozo
 
Inabidi tuanzishe kampeni yetu wanaume iwe bikra unayo Mana ndio thamani ya mwanamke hana thamani nyingine ya kuwa mama wa watt wako vinginevyo awe jumba la starehe.
Mwili wa mwanamke unatakiwa uwe wakfu,yaani mtakatifu Mana kwanza ndiye anayekaa na mtt wewe mpaka anakuwa tumboni mwake Anazaliwa
Yaani mwanamke bila ya kuwa na mwili safi haifai basi kuolewa na wanaume tumelegea tunashindwa kuweka standards zetu Mana wao lazima wakuchangulie Kama una uhakika wa kuwapa mahitaji yao muhimu ndipo unapokubaliwa so why na sie tusione Kama miili yao ni safi.
Kuna watu wanaoa Malaya..

Yaani wanawake linapokuja suala linawabana wanataka sababu za kuwatetea Ila sie tunaambiwa tafuta pesa
Mnazo pesa?
Wanawake wazuri hata wasio na hizo bikira wanawataka au kuwaangalia mara mbili mkiwa kwenye bodaboda au mnatembea kwa miguu?
 
Back
Top Bottom