Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Sayansi ina mambo muhimu zaidi ya kushughulikia, kinachotwa au kudaiwa bikira sio kitu muhimu kwa wanasayansi.
Wewe bikra ni muhimu mno angalia bibi waliolewa bila ya kujua mme ,walizaa baba zetu wetu wote wakamfanana Babu na mama ivyo ivyo akina mama waliozaliwa miaka 50 kurudi nyuma.
Angalia wewe unaye sema kuwa bikra sio muhimu angalia kizazi chenu hata watt wenu hawana maadili.

Nikuambie tu ukiwa na bikra mwanaume anaku value mara mbili Kama ulikuwa huna bikra.
Wewe thamani yako ni bikra basi, hata Kama upo Kama mtt hujui kusoma,Wala hujui kutafuta pesa. Utaolewa na mwanaume mwenye kukupa mahitaji mpaka unakufa ama kuzeeka.
Check kule south Sudan binti anatolewa 530 cows na kitu Kama milioni 70 yaani kisa tu akatokea familia ya maadili na bikra anayo.
Huyo mwanamke haitakiwi hamjui mwanaume mwingine zaidi ya huyo mmewe ndio akafundishwa ivyo na sio nyie mnaangalia pesa hata utapitiwa na mbwa kisa ni pesa tu ndizo unazojali
 
Nini umuhimu wa bikira kwako mwanaume unayetaka kuoa?
 
Mwanamke Bikra anatamani sana hawezi kufananishwa na mwanamke amabe hakujitunza ila watu hawajui
 
Ndio bro, ila nashangaa wengine wanakuja kwa hasira na matusi, naamini kila mmoja anachagua akipendacho mimi nimapenda niwe na mke niliemkuta akiwa bikra na mwingine atakuambia anapenda aoe mwanamke aliewahi kutoa mimba or mzoefu wa show,,, ni kila mmoja na maamuzi yake ni kama mwanamke tu anapochagua mwanaume mwenye hela, handsome, etc
Inabidi tuanzishe kampeni yetu wanaume iwe bikra unayo Mana ndio thamani ya mwanamke hana thamani nyingine ya kuwa mama wa watt wako vinginevyo awe jumba la starehe.
Mwili wa mwanamke unatakiwa uwe wakfu,yaani mtakatifu Mana kwanza ndiye anayekaa na mtt wewe mpaka anakuwa tumboni mwake Anazaliwa
Yaani mwanamke bila ya kuwa na mwili safi haifai basi kuolewa na wanaume tumelegea tunashindwa kuweka standards zetu Mana wao lazima wakuchangulie Kama una uhakika wa kuwapa mahitaji yao muhimu ndipo unapokubaliwa so why na sie tusione Kama miili yao ni safi.
Kuna watu wanaoa Malaya..

Yaani wanawake linapokuja suala linawabana wanataka sababu za kuwatetea Ila sie tunaambiwa tafuta pesa
 
Back
Top Bottom