zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Demi ndio bikra inakaguliwaHuna adabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demi ndio bikra inakaguliwaHuna adabu
Futa hiyo comment matusi nayajua sana na uzoefu wa kupigwa ban ninao, kama ulijua huna vizego nilivyovitaja ni bora unakaa kimya kuliko kunitajia mzazi wangu, sidhani kama utafurahi nikimtukana mama yakoNimetukana wapi?
Haujatukanwa, hayo ni maongezi ya kawaida tu.Paw Cookie Moderator Mhariri naamini JamiiForums ni sehemu ya maadili na mawazo mazuri, ila nashngazwa na huyu ananitukana mzazi wangu bila kosa
😅😅 weee huwajui watu wa humu wanapenda either kwa kujua au kutokujua wanaleta mada ambazoMwanaume una ajira na kipato kizuri unatafuta mwanamke tena social media?
Mwanaume bora hatafuti wanawake, mwanamke bora utokea kwa mwanaume bora sababu ya ubora wake, ukiona unatafuta wanawake jua unakasoro, uwezi kuwa na pesa na ajira ukatafuta wanawake tena social media. Jua watu uijue dunia na vinavyokuzunguka.
Ilo suala lingine Kama haipo si unaachwaUtajuaje kama ni bikira?
Wapo waislam wanaozaa kwa uzazi wa mpango usikaririUmekuja kiislam Islam lakini eti awe tayar kuzaa watoto watatu hapa umeanguka, Sahihi ilikuwa awe tayar kuzaa kadiri itakavyowezekana
Nimekwambia omba akupe uzoefu wake kwa uelewa wake hicho unachotafuta kams pia kwake kilihusikaFuta hiyo comment matusi nayajua sana na uzoefu wa kupigwa ban ninao, kama ulijua huna vizego nilivyovitaja ni bora unakaa kimya kuliko kunitajia mzazi wangu, sidhani kama utafurahi nikimtukana mama yako
Umeua kaka mjadafa ufungweMwanaume ha trade bikra katika mahusiano,mwanaume thamani yake anaitafuta Kama huyu akasoma akaajiriwa ivyo uhakika wa mke wake kula na kulala nk upo.
Unadhani mwanamke katika mahusiano unachangia nini zaidi ya mwili wako so mwili wako inabidi uwe na thamani kweli kweli mojawapo kinachoutambulisha uthamani wake ni bikra,jiulize why me hakuumbwa na sealed ya ubikra.
Yaani mwanamke zaidi ya mwili wako huna cha kuchangia kwenye mahusiano ,mwili wako uzae na mwanaume at00mbe basi.
Mwanaume anaangalia jana yako Ila wewe unaangalia kesho ya mwanaume.
Just tell me what are you trading in relationship a part from your body, can you build even a house or pay one year rented house.
Wakati utaanza kulia wewe mpaka watu wote watajua unalipa wewe.
Thamani yako wewe ni mwili yaani mwili ambao hata hukuumia kuupata ilitakiwa uwe mwaminifu mpaka mme wako atakapoufungua
Lengo la uzi ni kumpata mwanamke mwenye hizo sifa, kama unajijua huna sifa hizo ungekaa kimyaHaujatukanwa, hayo ni maongezi ya kawaida tu.
Kama bikira ni kitu muhimu sana kuna shida gani kumuuliza mama au shangazi yako kama waliolewa wakiwa bikira?!
Pamoja mkuuSawa bro ndio nipo natafuta
Huyo ame panic tu, labda anajua au anahisi anaweza kukuta mama yake hata hakuolewa akiwa bikira.Nimetukana wapi?
Utajuaje mwanamke ni bikira?Daa! Bikira inatafutwa JF! Humu hata ukibahatika kumpata atakayedai anayo, uwezekano mkubwa ni kwamba itakuwa ni feki, yaani bikira ya kughushi.
Nitaikagua kabla ya ndoa, fake na original zinajulikana tuDaa! Bikira inatafutwa JF! Humu hata ukibahatika kumpata atakayedai anayo, uwezekano mkubwa ni kwamba itakuwa ni feki, yaani bikira ya kughushi.
Sijamuuliza sababu wewe umeuliza humu ndio nashauri anzia kwanza kumuuliza mama yako kabla kuuliza watoto wa kike wa watu wengine kama wana bikra kabla kuolewa na weweMama yako anacho kiota?
Na mimi nikakuambia umkague mama yako kama kiota anacho maana nakumbuka nilimtolea kiotaSijamuuliza sababu wewe umeuliza humu ndio nashauri anzia kwanza kumuuliza mama yako kabla kuuliza watoto wa kike wa watu wengine kama wana bikra kabla kuolewa na wewe
Mama yako ndio chaweza kuwa kipimo kizuri sana cha kujua utampata huyo bikra au la
Charity begins at home .Mhoji usiogope
Usiruhusu dada au mtoto wako wa kike afanyiwe huu upumbavu?Nitaikagua kabla ya ndoa, fake na original zinajulikana tu
Hakuna bikra akatumie jua jf fb na insta nibishie hapa nikupe factNatafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo :
-asiwe na kazi wala biashara yoyote
- awe Muslim
- mweupe
- 19 to 22 years
NJOO PM TUYAJENGE EWE FUTURE WIFE
- awe amelelewa kimaadili
- awe tayari kuwa na watoto watatu
- awe kabila lolote
- awe mwembamba itapendeza