Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Sasahiv nahisi Kuna washenzi wanatabia ya kurubuni vitoto vidogo ili wawatoe bikra kiasi kwamba ni nadra kukuta bikra hata kwa watoto wa shule ya msingi,...... Hii ni kero kubwa sana serikali iingilie kati!! Kiwe kigezo Cha mwanamke kwenda form six! Yaani ili mwanamke aingie form six awe bikra
Kwa namna hiyo wanawake watakosa na kujitunza
 
Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo :

  • awe Muslim
  • mweupe
  • 19 to 22 years
-asiwe na kazi wala biashara yoyote
  • awe amelelewa kimaadili
  • awe tayari kuwa na watoto watatu
  • awe kabila lolote
  • awe mwembamba itapendeza
NJOO PM TUYAJENGE EWE FUTURE WIFE
KATAFUTE WANAFUNZI UENDE JELA MIAKA 30 NA KAZI NGUMU WALIOMALIZA WOTE HAWANA WAMEZIACHA SHULE
 
Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo :

  • awe Muslim
  • mweupe
  • 19 to 22 years
-asiwe na kazi wala biashara yoyote
  • awe amelelewa kimaadili
  • awe tayari kuwa na watoto watatu
  • awe kabila lolote
  • awe mwembamba itapendeza
NJOO PM TUYAJENGE EWE FUTURE WIFE
Utateseka sana kuipata! Wewe unatafuta kitu ambacho wewe huna😂
 
Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo :

  • awe Muslim
  • mweupe
  • 19 to 22 years
-asiwe na kazi wala biashara yoyote
  • awe amelelewa kimaadili
  • awe tayari kuwa na watoto watatu
  • awe kabila lolote
  • awe mwembamba itapendeza
NJOO PM TUYAJENGE EWE FUTURE WIFE
Mke hatafutwi kwa mtindo huuu
 
Back
Top Bottom